- Thread starter
- #21
Unasema rwanda maambukizi yamepungua?.
Wakati wapo 75.
Na lock down yao.
Unadhani wakimaliza hyo lock down ndo CORONA ITAKUWA IMEISHA au wataongeza siku nyingine?View attachment 1405552
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ujinga mtajikomboa lini? Unafahamu tofauti ya 'kasi ya maambukizi' na 'idadi ya maambukizi'?
Someni mabandiko kuelewa:
"Kasi ya maambukizi Afrika kusini imeshaanza kupungua pia kufuatilia total lockdown."
Mkuu ulielewa sentenso hiyo uliyoinukuu out of context au yale yale ya kudandia treni kwa mbele?