Utabiri: Tanzania kwenda total lockdown mwezi April

Unasema rwanda maambukizi yamepungua?.
Wakati wapo 75.
Na lock down yao.
Unadhani wakimaliza hyo lock down ndo CORONA ITAKUWA IMEISHA au wataongeza siku nyingine?View attachment 1405552

Sent using Jamii Forums mobile app

Huu ujinga mtajikomboa lini? Unafahamu tofauti ya 'kasi ya maambukizi' na 'idadi ya maambukizi'?

Someni mabandiko kuelewa:

"Kasi ya maambukizi Afrika kusini imeshaanza kupungua pia kufuatilia total lockdown."

Mkuu ulielewa sentenso hiyo uliyoinukuu out of context au yale yale ya kudandia treni kwa mbele?
 
Kuanzia wiki ijayo raia wote wa Rwanda wata unlock total lockdown.Total Lockdown Africa hatuiwezi,tuchukue taadhali za kiafya kutoka kwa wataalamu na tufunge mipaka basi,ila hii total lockdown utawaua kwa njaa WASAKA TONGE.
91480291_104438921138923_6664347941021948467_n.jpg

Hapo ikifika weekend wanajaza uwanja wote.
 
Kuanzia wiki ijayo raia wote wa Rwanda wata unlock total lockdown.Total Lockdown Africa hatuiwezi,tuchukue taadhali za kiafya kutoka kwa wataalamu na tufunge mipaka basi,ila hii total lockdown utawaua kwa njaa WASAKA TONGE.
View attachment 1405712
Hapo ikifika weekend wanajaza uwanja wote.
Total lockdown hawaiwezi wkt wiki ijayo wanamaliza 14 days ndani.

Ccm kwa kujipa moyo bana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana halijaisha ila huku bongo ndio limepungua kufikia mgonjwa mmoja.

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Sasa hao Rwanda ndio wamefanya nini?Jana tu kuna wagonjwa wapya watano na mpaka sasa kuna wagonjwa 75.

Wewe umesema wiki ijayo total lockdown ndio mwisho je tatizo limeisha?

Coronavirus - Rwanda: Update on COVID-19 Coronavirus - 31March 2020 | Africanews

Total lockdown hawaiwezi wkt wiki ijayo wanamaliza 14 days ndani.

Ccm kwa kujipa moyo bana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hao Rwanda ndio wamefanya nini?Jana tu kuna wagonjwa wapya watano na mpaka sasa kuna wagonjwa 75.

Wewe umesema wiki ijayo total lockdown ndio mwisho je tatizo limeisha?

Coronavirus - Rwanda: Update on COVID-19 Coronavirus - 31March 2020 | Africanews
Ndio maana baada ya kuona ukubwa wa akili yako ambao ni kama punje ya haradali nikakujibu lockdown huko Rwanda haijasaidia kitu ila huku bongo kwa hatua tulizochukua tumefanikisha kumaliza huo ugonjwa kabisa.

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Total lockdown hawaiwezi wkt wiki ijayo wanamaliza 14 days ndani.

Ccm kwa kujipa moyo bana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana baada ya kuona ukubwa wa akili yako ambao ni kama punje ya haradali nikakujibu lockdown huko Rwanda haijasaidia kitu ila huku bongo kwa hatua tulizochukua tumefanikisha kumaliza huo ugonjwa kabisa.

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Kwani hizo hatua walizo chukua Rwanda ambao wewe unawasifia ,je wamemaliza kutatua hilo tatizo?
 
Wakuu huu ni utabiri tu si kama ile ndoto ya mheshimiwa Lema hivyo nadhani si haba kuuweka hadharani.

Utabiri huu unazingatia ukweli kuwa serikali ya awamu ya tano imesheheni wasomi wazamivu na wasomi wabobezi kweli kweli. Kwa ma PhD na ma Profesa wote wale chini ya mkuu mwenyewe ambaye pia ni daktari itakuwa 'too naive' na kutokujitendea haki kudhani kuwa hajui wala hawajui nini cha kufanya kuuzuia na kuutokomeza ugonjwa huu.

Haya ya uchaguzi mkuu kuwa uko palepale ni geresha tu katika jitihada za kutupatia cha kuongelea wakati April anasubiriwa kwa hamu mno aje.

Hapa tulipo ni vyema kujua kuna kinachosubiliwa tu (ambacho ni top secret). Mara kitakapojiri jitihada za kumdhibiti na kumtokomeza kirusi huyu ndipo kitaanza sasa.

"Cha kusikitisha tu ni kuwa katika hii subiri subiri kuna watu itawagharimu maisha pia gharama zitakuwa kubwa zaidi", anasema Cyril Ramaphosa Rais wa Afrika kusini.

NB: Huu ni utabiri tu pasi na kuwa Kibwetere wala Mwampesa.
Labda aprili 2021
 
Back
Top Bottom