Labda aprili 2021
Mbn mkali Sana? Hakna lock down mbn kunanchi wanacheza mpak mpira wanacheza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama hutaki watu wachangie threadMkuu ni huo utabiri wangu. Kwanini usitoe wako kama unadhani ni 2021?
Ama kweli akili ni nywele. Na nywele hizo TWAWEZA aliziainisha vilivyo.
Kwani hizo hatua walizo chukua Rwanda ambao wewe unawasifia ,je wamemaliza kutatua hilo tatizo?
kujifungia ndani ni solution ndio ila sio solution pekee, kwani ukimwi ulivyoingia bongo watu waliacha kufanya mapenzi? Cha muhimu ni kuchukua tu precautions, lockdown tutakula nini sio kila mtu ana uwezo wa kuweka stock kubwa ya nusu mwaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama hutaki watu wachangie thread
Ukianzisha uzi kaa ukijua kuna watakao kuunga mkono au kuwa against
Taarifa za kupikwa na source nimeiweka ?Ulisoma kilichoandikwa kuhusu Rwanda? Kasi ya maambukizi imepungua. Hiyo ndiyo dalili muhimu ya kwanza kuwa wanakwenda vizuri.
Acheni taarifa za kupikwa kuwa mko vizuri.
Mnaposiki figure zimepikwa mnauliza mlitaka jiwe ngapi? Ajabu na kweli sijui wao walitaka zisiwe ngapi?
Ikumbukwe kuwa kinachohitajika ni figures halisi (period).
Taarifa za kupikwa na source nimeiweka ?
Coronavirus - Rwanda: Update on COVID-19 Coronavirus - 31March 2020 | Africanews
Mbn mkali Sana? Hakna lock down mbn kunanchi wanacheza mpak mpira wanacheza
Sent using Jamii Forums mobile app
Number ya maambukizi mampya 5, namba ya wagonjwa ambao wapo mpaka hivi sasa 75.Mkuu unafahamu tofauti ya 'kasi ya maambukizi' (infection rate) na 'ukubwa maambukizi' number of the (confirmed infections)?
Ulielewa nilichoandika kuwa kimepungua?
Hizi source zako zinatoa figure zipi baina ya hizi mbili.
Please revisit your sources for the veracity of the argument.
Number ya maambukizi mampya 5, namba ya wagonjwa ambao wapo mpaka hivi sasa 75.
"• Four (4) travellers who had arrived from Dubai and who have been isolatedKatika 5 za maambukizi mapya ngapi ni za ndani na ngapi ni moja kwa moja toka nje?
Utabiri wako upotelee mbali. Mungu ibariki Tanzania and atuepushe na adha hii, na sijui wewe upo katika kipato cha aina gani? Hata haufikiri juu ya the majority ambao mlo ni lazima watoke[emoji57] brazaj,
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia hizi takwimu uone jinsi ndani ya mwezi mmoja hali inavyoweza kuwa mbaya.
Yaani ndani ya mwezi au wiki chache hali inaweza kutoka kwenye makumi hadi makumi elfu
🇮🇹 Italy
February 21 2020 - 21 cases
March 27 2020 - 86,498 cases
🇺🇸 United States
February 21 2020 - 16 cases
March 27 2020 - 100,037 cases
🇫🇷 France
February 26 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 32,964 cases
🇩🇪 Germany
February 25 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 50,178 cases
🇪🇸 Spain
February 27 2020 - 25 cases
March 27, 2020 - 64,059 cases
🇮🇷 Iran
February 19 2020 - 5 cases
March 27 2020 - 32,332 cases
South Africa 🇿🇦
March 1 2020 - 1 case
March 27 2020 - 1,170 cases
.
Utabiri wa Nyumbu huu, aijuaye kesho ni Mungu,
Wenzako hutabiri angalau kwa kuzingatia statistics,
Mungu ameshatuepushia hiki kikombe waafrika.