Utabiri: Tanzania kwenda total lockdown mwezi April

Utabiri: Tanzania kwenda total lockdown mwezi April

Acheni kutisha wazalendo

Ya karagwe umeyasikia? Au kubwabwaja bwabwaja kwa sababu nawe una domo?

Maisha mangapi yangeokolewa kwa kutambua tu kuwa huu ugonjwa upo na unauwa?

Acheni kutumia mwamvuli wa kutojua kwa watu kuwahadaa ili kulinda maslahi yenu.

Leo hii mnakereka na taarifa za vifo badala ya kukereka na vifo.

Kwa hakika Mumiani utawajua kwa kauli zao, kwa maana kwao kila kifo ni nyama zaidi mezani tayari kwa matumbo yao.
 
Nyie endeleeni kupiga domo. Sisi tunapeleka umeme vijijin, barabara mijin na vijijini na kujenga hospitali
 
Naona mabeberu wanajambo la lao hadi kieleweke! Walikuja na utabiri waaafrika watakufa kama kuku vitisho vikakwama,wamekuja na jambo lao tena ety kuuna aina nyingine ya kirusi imeingia lakni cjasikia wanatafuta chanjo mpya chanjo ni ileile.
 
Nyie endeleeni kupiga domo. Sisi tunapeleka umeme vijijin, barabara mijin na vijijini na kujenga hospitali

Wapumzike kwa amani akina Ben Nkapa, Balozi Mahiga na wengi wengine tunapoendelea kupeleka unaosemekana umeme vijijini, barabara mijini na vijijini na kujenga hospitali.

Hii ni kwa sababu tuna makubaliano rasmi sisi tu na virusi hawa kutuacha kwanza wateule sisi tufanye yetu kwanza.

Ikumbukwe tuna mambo yetu na inatakiwa kuwa kama uraya.
 
Naona mabeberu wanajambo la lao hadi kieleweke! Walikuja na utabiri waaafrika watakufa kama kuku vitisho vikakwama,wamekuja na jambo lao tena ety kuuna aina nyingine ya kirusi imeingia lakni cjasikia wanatafuta chanjo mpya chanjo ni ileile.

Kwani kazi ya kutafuta chanjo ni ya mabeberu tu? Wale kina Pro. Mboga Mboga wao ni kusubiria chanjo toka kwa beberu tu?
 
Asee, huu ugonjwa unarudi bana?, Haya mafua siyaelewi elewi😥
 
Asee, huu ugonjwa unarudi bana?, Haya mafua siyaelewi elewi[emoji26]
Ugonjwa upo Sana tu huku Zanzibar miez hii miwili iliyopita ilikuwa balaa dalili kama mafua, joto la mwili kuwa juu Sana, viungo kuuma, kukohoa Na kifua kubana , maumivu makali YA kichwa Ila uzur Ni kwamba watu Wana recover fresh Na hakuna vifo ukilinganisha Na wimbi la mwaka jana
 
Covid-19 haijaondoka isipokuwa rate ya maambukizi ndio imepungua
IMG_20221215_103156_142.jpg
 
Aliye tabiri na familia yake ndio watakwenda total lockdown
Sisi huku kazi iendelee tu walahi [emoji2959]
 
Aliye tabiri na familia yake ndio watakwenda total lockdown
Sisi huku kazi iendelee tu walahi [emoji2959]

Hata waliotangulizwa na waiotangulia bila shaka kazi inaendelea.

Wapumzike kwa amani jiwe, na wote wale list ni ndefu.

Kwa hakika maombiya siku 3, matango pori na upigaji nyungu yalikuwa changa la macho la kiwango cha lami.
 
Back
Top Bottom