- Thread starter
- #61
Ndugai kwenye kikao cha jana kawaasa wabunge wawe makini na maamuzi ya lockdown sababu amekiri hatuna kiburi cha lockdown jee utabiri wako vp
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Ndugai ndiyo nani? Angekuwa Mungu sawa. Lakini kama ni huyu kazi ndugai, basi ya kwake tupa kule.
Tusubirie May 1. Kwani ni mbali basi?