Uso kwa uso na MwanaJF ndani ya Internet Cafe!!

Kwani vibaya mngepiga hata story mbili tatu? Au kuwa jF ndo tuwe tunajificha tukikutana njiani???
 
Afu rudisha ile hela yangu
Umejidai kuja mezani kwangu ukasepa fasta na wallet yangu

Ntakuombea 'burning' kwa mod had urudishe
Na hivi siku hizi kuna mmoja ananiLIKE kweli
 
katavi si ulikuwa jirani tu na biashara yangu bana,
sasa mbona ukatimua tena mkuu.
 
Afu rudisha ile hela yangu
Umejidai kuja mezani kwangu ukasepa fasta na wallet yangu

Ntakuombea 'burning' kwa mod had urudishe
Na hivi siku hizi kuna mmoja ananiLIKE kweli

Kama wewe anakuLIKE mimi amefall!
 
Kumbe hii kata kata umeme ya Tanesco sometime ina faida zake? Hasa katika kusepa..
 
Sio kuwa umeme ulinizuia ila dah!! Yule jamaa alivyoshangaa hadi watu wote wakageuka kuangalia. Umeme ulipokatika aligeuka kidogo nami nikatumia upenyo huo kuondoka...

Una bahati mlikuwa hamfahamiani.
Mie kuna siku nimeingia ofisi ya mkuu wa kitengo changu kwa ishu fulani hivi, sikumkuta, alikuwa katoka kidogo ila ofisi iko wazi na ktk PC yake alikuwa kaacha 'draft' ya reply ya thread fulani ambayo tulikuwa tunachangia wote bila kujuana. Mpaka leo hajui kinachoendelea ingawa tunachangia sana threads hapa JF. I was so shocked!
 
Back
Top Bottom