Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,666
- 11,759
Mie mbona sijawahi kukutana na memba??
Pole madame KPP.
Huwa tunakutana sana membaz wa humu na wengine huwa tunashirikiana kwa mengi, ikiwemo ku-share materials mbalimbali za kimasomo na kikazi. Ila sikushauri usianze utaratibu wa kukutana nao, kwa sababu huenda ukakutana na baba yako mzazi halafu ndo mchangiaji mkuu wa chit-chat, au mtu unayemheshimu sana na ndio moderator wa jukwaa la MMU. Don't try that at home