hii kitu imenifanya nicheke peke yangu! kweli jf stress remover
Sasa wewe unifanya nicheke zaidi....!
hii kitu imenifanya nicheke peke yangu! kweli jf stress remover
Noted rafikiWazazi wenye watoto wa kike hakikisheni watoto wenu wa kike wanapata elimu ya kutosha kuweza kumudu gharama za maisha bila kutegemea mume maana kuna baadhi ya wanaume manyanyaso yao yamepitiliza hasa pale mke anapokuwa hana uwezo wowote wa kuishi mwenyewe bila kumtegemea mume. Someni huo uzi hapo chini muone manyanyaso ya kusikitisha.
https://www.jamiiforums.com/mahusia...i-aachane-na-mume-huyu-mnasemaje-bandugu.html
Hv mbona mnatudhalilisha? Huyo ni mke? Au ulimaanisha housegirl asiwe karibu na watu hao?
tujuze mkuu,iyo fekon au boxer
Wapaka rangi ni noma usisubuti
ukifanya kosa hilo lazima wale mzigo,kuwa makini epusha mkeo kuzoena na watu hawa.
1fundi cherehani
2 machinga
3 polisi
4 fundi simu
5 wapaka rangi kucha.
ukifanya kosa hilo lazima wale mzigo,kuwa makini epusha mkeo kuzoena na watu hawa.
1fundi cherehani
2 machinga
3 polisi
4 fundi simu
5 wapaka rangi kucha.
mie katika wooote namba 3 ipo siku nitapiga polisi makofi mie
Umemsahau fundi umeme.
Ei umemsahau mangi
@Ablessed kuna njemba zina wivu mpaka zinatisha. Nakumbuka hapa kulikuwa na jamaa alianzisha uzi miezi ya nyuma kwamba anataka amwachishe kazi mkewe kwa sababu ana wasiwasi tu wa kugegedwa nje ya ndoa pamoja na kuwa hakukuwa na ushahidi wowote kama mkewe anasaliti ndoa yao. Mke kahenya miaka chungu nzima ya shule ya msingi, sekondari na chuo hadi kapata degree yake moja au mbili ili aweze kuyamudu maisha kwa kujitegemea kama asipopata mume au kumsaidia mumewe katika gharama mbali mbali za maisha. Halafu anakuja kukutana na muoaji ambaye baada ya miaka michache ndani ya ndoa anamtaka aache kazi kisa tu ana wasiwasi wa kugegedwa nje ya ndoa. Kama unataka mke wa kukaa nyumbani si ukaoe wa darasa la saba!?
Wazazi wenye watoto wa kike hakikisheni watoto wenu wa kike wanapata elimu ya kutosha kuweza kumudu gharama za maisha bila kutegemea mume maana kuna baadhi ya wanaume manyanyaso yao yamepitiliza hasa pale mke anapokuwa hana uwezo wowote wa kuishi mwenyewe bila kumtegemea mume. Someni huo uzi hapo chini muone manyanyaso ya kusikitisha.
https://www.jamiiforums.com/mahusia...i-aachane-na-mume-huyu-mnasemaje-bandugu.html