Usithubutu kuruhusu wafuatao kuwa karibu na mkeo, hatari

Usithubutu kuruhusu wafuatao kuwa karibu na mkeo, hatari

ndg. yangu siku hizi hakuna watu wabaya kama hawa vijana wa bodaboda.hao wengine wote tupa kule.
 
Hiyo kazi ya kupaka rangi kucha na kuosha miguu nimeifanya sana pale mwenge.il a mm nilikuwa na enjoy kuchek ma**ja ya kila aina yaani full stareh
 
ukifanya kosa hilo lazima wale mzigo,kuwa makini epusha mkeo kuzoena na watu hawa.
1fundi cherehani
2 machinga
3 polisi
4 fundi simu
5 wapaka rangi kucha.

6.wauza genge.
 
Hiyo kazi ya kupaka rangi kucha na kuosha miguu nimeifanya sana pale mwenge.il a mm nilikuwa na enjoy kuchek ma**ja ya kila aina yaani full stareh

ahhahaa, ulikuwa unakula kwa macho.

alafu unajua kusugua kucha unachochea hisia kwa mwanamke anakuwa kwenye wakati mgumu,kucha ni one of sensitive area kwa mwanamke
 
watembeza mboga mboga
watembeza samaki wabichi
madereva teksi wazee-wazee
 
huku nikuto kujiamini tuu,sijui utawaogopa wangapi.
 
Back
Top Bottom