Usithubutu kuruhusu wafuatao kuwa karibu na mkeo, hatari

Usithubutu kuruhusu wafuatao kuwa karibu na mkeo, hatari

Kazi kweli kweli itabidi mnapokua mmeoa wake zenu muwajengee ukuta mrefu ili ukifunga geti halifunguliwi mpaka ukirudi. Na hao uliowataja wenye fani hizo ni wanaume, sasa unataka kusema nyie hizo ndio zenu eeeh. Wamama mmeona kama mumeo ni fundi basi imekula kwako kumbe wako hivi wenyewe wamejieleza leo. Ushauri wangu kwako wewe ulie na mashaka juu ya mwenzi wako fanya hivi kila uamkapo mkabidhi Mungu mkeo akuchungie maana yeye ndiye mchungaji mwema au nakosea JICHO TAI , BAK , Fixed Point , Heaven on earth , mito , Simplicity

yy hajua uzinzi ni hulka ya mtu bila kujali anafanya kazi gani?
 
ukifanya kosa hilo lazima wale mzigo,kuwa makini epusha mkeo kuzoena na watu hawa.
1fundi cherehani
2 machinga
3 polisi
4 fundi simu
5 wapaka rangi kucha.

Mkuu uzinzi ni tabia ya mtu!!! akiamua kufanya anafanya tu si lazima awe karibu na watu wa aina hiyo
 
Mkuu uzinzi ni tabia ya mtu!!! akiamua kufanya anafanya tu si lazima awe karibu na watu wa aina hiyo

SWEETEST I totally agree witchu. Mzinzi hata ufanye nini atakamuliwa tu. Unaweza ukafikiri unambana kumbe yule houseboy wako anakamua. Unashangaa wife anamsifia na kumtetea "Mazengo" kila siku kumbe anakusaidia.
 
Mkuu uzinzi ni tabia ya mtu!!! akiamua kufanya anafanya tu si lazima awe karibu na watu wa aina hiyo

mkuu nimekupata,lakini kitu ninachotaka kueleza apa ni vyema kukubaliana nacho lazima ujue kuna watu waaribifu ambao wakiwa katibu na mke wako watamweka kwenye vishawishi kwa njia yoyote ile, naku kujikuta kavunja amri.
tena anaweza kuwa si mzinzi kabisa ,akaliwa kiulaini kabisa na wala usigundue na maisha yakaendelea kama kawaida,usipuuze kabisa hivi vichwa ni hatari.
 
Unajua mwanamke kufanya sex anaweza asiamue lakini tayari yuko geto kwakwo kwa lengo zuri tu au mwanamme yuko geto kwakwe na akamshawishi na kumlazimisha na akaliwa bila shida na huyo aliyemla siku yoyote akitaka anamla akikataa anamwambia nitamwambia mumewo so analiwa tena kama kawa
 
Mtu anajilinda mwenyewe,km uzinzi ni tabia yake huwezi kumlinda ht km uwe naye masaa yote atachoropoka tu, ila umemalizia vzr kuwa mungu ndie mlinzi wa kweli ila muwe mmefunga ndoa sio hii kumegana bila idhini ya wazazi
 
Waganga wa jadi je? Ole wake mwanamke afike atake dawa ya mapenzi au kupata mtoto
 
Inategemea mkeo ni mtu wa aina gani, maana hata ndugu/rafiki yako pia anaweza kuwa mbaya wako.
 
Umesahau mdogo ako..shemeji shemeji anazima taa
 
ukifanya kosa hilo lazima wale mzigo,kuwa makini epusha mkeo kuzoena na watu hawa.
1fundi cherehani----hapa wenye wake wapenda shughuli kutwa kushona sare , wengine ni mtumba.com
2 machinga-----wale bahati mbaya hawana shughuli wapo nyumbani tu wengine tutakutana nao wapi ?
3 polisi----labda kama mnapelekana sana polisi na ni watu wa masumbwi , hivi hivi utamjulia wapi ?
4 fundi simu---jamani hivi bado kuna kupeleka simu kwa fundi kama wadada wa kazi nyumbani ? Sikuhizi tunatupa na kuchukua mpya tu
5 wapaka rangi kucha.
-----kwa wale wasiosuguliwa na waume zao na pia hawana kinyaa
 
Back
Top Bottom