Sorrow to Joy
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 292
- 59
Labda goli tatu ila not a modern proffessional busy woman...labda ungesema mwalimu wa gym, masseur na watu kama hao ila hao uliowamention too low a class kaka...
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Inaonyesha umeishi mbali na wanawake. Hata awe na PhD chupi yake anaweza mvulia houseboy. Achana kabisa na hawa viumbe