Usithubutu kuruhusu wafuatao kuwa karibu na mkeo, hatari

Usithubutu kuruhusu wafuatao kuwa karibu na mkeo, hatari

ukifanya kosa hilo lazima wale mzigo,kuwa makini epusha mkeo kuzoena na watu hawa.
1fundi cherehani
2 machinga
3 polisi
4 fundi simu
5 wapaka rangi kucha.

6 wachungaji waseja..., hasa akina Komba..., ukimkabidhi hela anazifikisha, Lakini mkeo, lazima...
 
7.Mafundi selemara
8.Madereva na makonda wa daladala
9.Wauza nyama mabuchani....
10.
 
hii kitu imenifanya nicheke peke yangu! kweli jf stress remover
 
ukifanya kosa hilo lazima wale mzigo,kuwa makini epusha mkeo kuzoena na watu hawa.
1fundi cherehani
2 machinga
3 polisi
4 fundi simu
5 wapaka rangi kucha.

In addition to that, ukikuta kwenye simu ya mkeo ame save neno "fundi" mara nyingi huwa anakuwa ni fundi wa kitandani
 
Back
Top Bottom