Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,360
ukifanya kosa hilo lazima wale mzigo,kuwa makini epusha mkeo kuzoena na watu hawa.
1fundi cherehani
2 machinga
3 polisi
4 fundi simu
5 wapaka rangi kucha.
Binafsi ni kauli ya kidhalilishaji maana mpaka mwanamke amkubali mtu ana sababu nyingi.