Usithubutu kuruhusu wafuatao kuwa karibu na mkeo, hatari

Mimi pia!!usiniache na mkeo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Labda goli tatu ila not a modern proffessional busy woman...labda ungesema mwalimu wa gym, masseur na watu kama hao ila hao uliowamention too low a class kaka...

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Vinyoozi mnawajua? Hao dk2 nyngi sana............... Na madaktar vp? na mambo yao ya njia ya mtoto ni ndogo itabid itanuliwe kidogo
 
Labda goli tatu ila not a modern proffessional busy woman...labda ungesema mwalimu wa gym, masseur na watu kama hao ila hao uliowamention too low a class kaka...

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

we,abda unaongelea ulaya,kwa bongo hao ndio funga kazi.
 
Kazi kweli kweli itabidi mnapokua mmeoa wake zenu muwajengee ukuta mrefu ili ukifunga geti halifunguliwi mpaka ukirudi. Na hao uliowataja wenye fani hizo ni wanaume, sasa unataka kusema nyie hizo ndio zenu eeeh. Wamama mmeona kama mumeo ni fundi basi imekula kwako kumbe wako hivi wenyewe wamejieleza leo. Ushauri wangu kwako wewe ulie na mashaka juu ya mwenzi wako fanya hivi kila uamkapo mkabidhi Mungu mkeo akuchungie maana yeye ndiye mchungaji mwema au nakosea JICHO TAI , BAK , Fixed Point , Heaven on earth , mito , Simplicity
 
Last edited by a moderator:
Namba tano hatari sana hao
Mimi kabla sijaoa, aisee lazima nipate kozi ya hii kitu. Weekend, mama njoo hapa na maji kwenye beseni.
Ukiwakuta wadada, wamama wanavyo tomaswa pale Mwenge jinsi walivyo legea walahi utachoka.
 
Kazi kweli kweli itabidi mnapokua mmeoa wake zenu muwajengee ukuta mrefu ili ukifunga geti halifunguliwi mpaka ukirudi. Na hao uliowataja wenye fani hizo ni wanaume, sasa unataka kusema nyie hizo ndio zenu eeeh. Wamama mmeona kama mumeo ni fundi basi imekula kwako kumbe wako hivi wenyewe wamejieleza leo. Ushauri wangu kwako wewe ulie na mashaka juu ya mwenzi wako fanya hivi kila uamkapo mkabidhi Mungu mkeo akuchungie maana yeye ndiye mchungaji mwema au nakosea JICHO TAI , BAK , Fixed Point , Heaven on earth , mito , Simplicity
ABLEsssed yaani hapo umemaliza kila kitu.......mumeo akiwa fani hizo basi uhesabu

maumivu tu......mama Mchungaji ushauri mwingine uko safi wakae watulie tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom