New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,400
- 2,573
we dogo upo..??Aiseee wapi hiyo
we dogo upo..??Aiseee wapi hiyo
Ningefurahi mmoja wetu angesema sio original au kiatu hiki hiki high street ni 50,000 au Kariakoo kiatu hiki ni 25,000. Lakini ndugu yangu utakoma kwanini ulileta Tangazo lako hapa, natamani tungekuwa na amani kumpa moyo mswahili atajirike au angalau apunguze wanaogombea ajira za serikali. Mimi nakushauri uweke viatu original vya watoto na kina mama pia, Mungu akubariki!
Yaan ivo viatu nimenunua sana elf 60,Kudadadeki kumbe mke wangu ananisanufu anavonambia naonekana classic, maana mm kiatu nimenunua sanaaa ni 50k
Bei hiyo 180,000/= tofali 180 naletewa mpaka sitetena kwa lorry la tani 10 hapo kudadek...
Jamaa kaweka cha juu sana aseeChina mnanunua a-dime-a-dozen halafu Bongo mnaja uza $90 a pair. Eti "BOSS Achievement of High Quality Men". Wajinga ndiyo waliwao. Haahaa....
unaji-commentia mwenyewe kwa faida ya nani?Nielekeze nami nikachukue kwa hiyo bei..maana hata mimi wa kkoo sijawahi kutana na bei hii
Ningefurahi mmoja wetu angesema sio original au kiatu hiki hiki high street ni 50,000 au Kariakoo kiatu hiki ni 25,000. Lakini ndugu yangu utakoma kwanini ulileta Tangazo lako hapa, natamani tungekuwa na amani kumpa moyo mswahili atajirike au angalau apunguze wanaogombea ajira za serikali. Mimi nakushauri uweke viatu original vya watoto na kina mama pia, Mungu akubariki!
Jf ukiweka biashara uwe na moyo sana.Hivi kwenye viatu vya kiume nimefata nini mi nee
Jf ukiweka biashara uwe na moyo sana.Hivi kwenye viatu vya kiume nimefata nini mi nee