Usipitwe na viatu orijino vya kiume

Usipitwe na viatu orijino vya kiume

unaposema una deliver popote nilipo unamaanishanini?
Karibu nikuhudumie kiroho safi.
Dondokea chaguo Lako then Weka order sasa, hasa katika msimu huu wa skukuu.

Bei ni laki 1 na themanini kwa laki 1 na hamsini

Ninadeliver popote ulipo kwa uaminifu..
whatsapp 0625924942

View attachment 944488View attachment 944489View attachment 944490View attachment 944491View attachment 944492View attachment 944493View attachment 944494View attachment 944495View attachment 944496View attachment 944497View attachment 944498View attachment 944499View attachment 944500View attachment 944501
 
Hiyo namba kumi,ni safety boot?kwa dar unapatikana wapi?na safety boots zinasimama ngapi kama zipo.
 
Mkuu, mwakan mwezi wa Pili nitafanya zoezi moja kubwa sana"NAFUNGA NDOA", kupitia Katolik ,maeneo Mbagala Zakhem.
Nina taka kujua bei ya kila mzigo hapo, ili nikijiweza nikutafute pia..
tapatalk_1543048446973.jpeg
tapatalk_1543048543998.jpeg
tapatalk_1543048464961.jpeg
tapatalk_1543048549030.jpeg
 
Hatari boss. Kodi zimepaa na dola yenyewe si umeisikia
dah!! ila shilingi yetu inapoteza dhamani kwa kasi sana asee; ni miezi 8 tu imepita hiko kiatu cha kwanza nimekinunua kwa 90,000/= leo bei imepanda mara 2...e baba Mungu tusimamie!!
 
Si mbaya boss..ni maamzi tu. Vipo pia vya bri hizo ila huwezi compare na hizi mkataba
Kudadadeki kumbe mke wangu ananisanufu anavonambia naonekana classic, maana mm kiatu nimenunua sanaaa ni 50k
 
Kariakoo na mbeya.
Hiyo ya juu pia hutumika kama safety boot. Inafuatana unapenda leather au ya kitambaa kigumu kama hiyo (kama za jeshini).
Kama hiyo juu ni laki na nusu.
Ila ile Leather kabisa huwa laki 2.
Hiyo namba kumi,ni safety boot?kwa dar unapatikana wapi?na safety boots zinasimama ngapi kama zipo.
 
Back
Top Bottom