Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,623
Kwa nini pacha
Jf ukiweka biashara uwe na moyo sana.
Jf ukiweka biashara uwe na moyo sana.
Huoni mwenye biashara yake anavyopambana na mawe yanayorushwa! Wajuaji wengi sana.....Kwa nini pacha
Huoni mwenye biashara yake anavyopambana na mawe yanayorushwa! Wajuaji wengi sana.....
Kuna uzi mmoja kule chitchat unahusu viatu vya wanaume. Watu wamerusha picha za viatu 'vyao' vya bei mbaya halafu huku kwenye reality watu wanapambana na bei ya 150,000/-.Nikajua comment yangu ndio imefanya uandike hivyo
Kuna uzi mmoja kule chitchat unahusu viatu vya wanaume. Watu wamerusha picha za viatu 'vyao' vya bei mbaya halafu huku kwenye reality watu wanapambana na bei ya 150,000/-.
Kuna aina ya viatu 150,000 ndio bei ya chini. Mfano Timberland 150,000 ndio bei ya chini. Zile boots ni £150.Sorry, kwamba 150,000 ndio bei ya kawaida au unamaanishaje?
Kuna aina ya viatu 150,000 ndio bei ya chini. Mfano Timberland 150,000 ndio bei ya chini. Zile boots ni £150.
Hizo mnazonunua karume ndio zikiwa mpya bei ndio £50-200.Dadek... tuliozoea kununua Karume tunatokwa na mijicho tu hapa
Ooh sawaHizo mnazonunua karume ndio zikiwa mpya bei ndio £50-200.
Kuna uzi mmoja kule chitchat unahusu viatu vya wanaume. Watu wamerusha picha za viatu 'vyao' vya bei mbaya halafu huku kwenye reality watu wanapambana na bei ya 150,000/-.
Hii ngap??Karibu nikuhudumie kiroho safi.
Dondokea chaguo Lako then Weka order sasa, hasa katika msimu huu wa skukuu.
Bei ni laki 1 na themanini kwa laki 1 na hamsini
Ninadeliver popote ulipo kwa uaminifu..0625924942
View attachment 944488View attachment 944489View attachment 944490View attachment 944491View attachment 944492View attachment 944493View attachment 944494View attachment 944495View attachment 944496View attachment 944497View attachment 944498View attachment 944499View attachment 944500View attachment 944501
namaanisha hikiKwenye picha, hiyo makinikia ya tatu toka juu brown, kuna uwezekano wa kupata black sample hiyo?
namaanisha hikiView attachment 950144
Hivi viatu vinawafaa wabunge maana hiyo 180k & 150k kwa kipindi hiki mambo yalivyokaza aisee tutaishia kula kwa machoboss bwana. Hamna mbaya vingi hapo ni 180. Na baadhi 150.