reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,828
- 21,932
M nilinyamaza japo nilimwambia yupo juu bila kumpa refference nisome upepo ila wewe umefunguka, hv viatu Naapa kwa dini yang na leo n jumapili nilivikuta k.koo chimbo flan hv wanauza 95K mwez huu huu mwanzoni, japo niligundua wakat nishanunua kwa 120 mwenge tena travota, na cracks ya kawaida isiyoenda juu nikachukua kwa 100k wakat k koo n 90k ikienda sana, hata kama wamepanda sana haiwez zidi 130k tena hapo nazungumzia kwa hzo zilizoenda juu kama hio cracks ya brown ya tatu kutoka juu, Ndio maduka meng wanauza kwa 130k-150k ila huyu ndugu yetu kazid, 180? Khaaa.... Anayebisha anipe 130 na kdg ya udalali nikamletee weekend nikija town, lengo sio kuharibiana lengo ni kutafuta mazingira ya kufaidika na kupata kdg(hio hamna asiependa) bila kumuumiza sana mwenzako.Mwenye duka ambapo wewe ndio umechukua picha anauza 150K ,unahisi JF kuna maboya watupu ehhView attachment 945462

️ za asubuhi.