Usipitwe na viatu orijino vya kiume

Usipitwe na viatu orijino vya kiume

Umezoea za elf 5 hapa hapakuhusu msee
Heri nikanunue Original Brand ya Mtumba kwa Elfu 5 kuliko hizo "Fake Plastic Shoes". huo mzigo kanjanja utawauzia wasiojua vitu na wasiojua kuvaa.
 
Hujui viatu wewe.. kwani unadhani sisi maboya kuagiza mzigo fake

Wewe ungekuwa unajua viatu usingeuza hiyo Miplastic kwa bei hiyo! Tatizo lako tunakwambia ukweli lakini hutaki kukubali. Watu kwenda China au Kuagiza mzigo China mnaona mnajua kiila kitu kumbe hamna Lolote.
For your information hivyo viatu hata Bure sivai kwanza miguu itaungua alafu hiyo Synthetic Leather iliyotumica ina toxic chemicals kwa hiyo siwezi kuvaa hiyo midsho aisee...hata bure!
 
Haha jinga kweli wewe..sina muda wa kubishana na mtu asiejua lolote
Wewe ungekuwa unajua viatu usingeuza hiyo Miplastic kwa bei hiyo! Tatizo lako tunakwambia ukweli lakini hutaki kukubali. Watu kwenda China au Kuagiza mzigo China mnaona mnajua kiila kitu kumbe hamna Lolote.
For your information hivyo viatu hata Bure sivai kwanza miguu itaungua alafu hiyo Synthetic Leather iliyotumica ina toxic chemicals kwa hiyo siwezi kuvaa hiyo midsho aisee...hata bure!
 
Nadanganyana na nani, mm sijanunua kwake ila nimeeleza kwamba niliwahi nunua kiatu Italy kabsa kwa bei hiyo, sasa nadanganyana na nani?
Yah nimeku quote kimakosa, 250$+ndio bei za viatu og chata hizo alizotaja.
150k awaibie maboya ni michina kachorwa chata hizo.
 
Nimejaribu kwenda kutazama kiatu original cha Clarks mitaa fulani ya Ujerumani kwenye duka lao wao watu wa Clarks, nikavitathmini viatu vilivyomo mle na boot tunazovaaga Bongo. Nilichogundua sijawahi kuvaa kiatu original cha Clarks. Poor me!!! €120 (~310,000/=) ndiyo bei na ni offer ya Christmas (Weihnachten)!!!
Sasa huyu boya anaita original Clarcks 150,000.
Aseme anauza viatu vizuri mafala wajipeleke wenyewe.
 
Sasa huyu boya anaita original Clarcks 150,000.
Aseme anauza viatu vizuri mafala wajipeleke wenyewe.

Kwa Bongo saivi Clarks Original unazipata Duka moja hivi linaitwa "Service Limited" hapo hata washua wengi wanajua mapigo ndio huwa wananunua viatu.
 
Back
Top Bottom