Usipitwe na viatu orijino vya kiume

Usipitwe na viatu orijino vya kiume

Haha brand new upate karume??
Kweli lakini kila mbuzi hula urefu wa kamba yake nashukuru nimeona baadhi ya sample nitacheki karume, big brother nadhani nitapata kwa bei zetu za kitonga
 
Xio brand new mkuu sample ambayo itakuwa kidogo ina resemble na miguu uliyoitupia baadhi yake nimeielewa
Hii mm ndio huwa mikato yangu kiatu chenye Gidamu huwa sivaagi kamwe
tapatalk_1543495380259.jpeg
 
Utawaweza?
Hapo hawana hela!

Watu wa Africa Magharibi, wanathamini ndg zao na kupeana moyo, sisi michango ya harusi tumeiweza lakini harambee za elimu, kuinuana ki biashara hata jirani zetu wanacheka, harusi million 100 inaliwa siku 1, shule million 20 haipatikani. Mungu tusaidie tuelewe!
 
Mmmmm lakini kwenye biashara kuna sharing of resources, kachakula kazuri ka Kemp....,ki laki 2, unaweza kukala Tandika kwa 1,500, shida ni sehemu na nzi, huyu bwana anakuletea mpaka ofisini/nyumbani , pale Kariakoo kuna wababe na mtu umenunua kwa laki 2 kwa sababu unazo usingekuwa nazo ungekwenda Kariakoo, nilipewa kiatu cha kuchezea basket ball/ NIKE cha mtu kutoka New York nikalipwa dollar 100 kukibeba tu nadhani bei/ group ya hicho kiatu itakuwa kwenye hizo ORIGINAL ila kilikuwa na guarantee ya soli na ngozi mwaka mzima😂, tumpe moyo ndugu yetu achomoke kama kuna penye bei rahisi tumwambie asiposhindana dunia ni kijiji hatopata wateja.
 
Back
Top Bottom