Anguko la falme ya kiume na jinsi ya kuirejesha

Canabian Rasta

JF-Expert Member
Aug 18, 2022
773
1,708
Warning, huu uzi ni special kwa wanaume tu.

Wazee, nawasalimu popote mlipo kwenye maangaiko ya kujitafutia, Mungu atubariki na atuongezee rikizi zetu kwenye hii dunia ya majaribu.

Wanaume wenzangu, ivi mnajua sisi ndo chaguo namba moja “1” la miungu yote ya hapa Duniani hadi Mungu wa mbinguni, sasa kwanini tumekua dhaifu!

Miaka ya ivi karibuni ukichunguza utagundua wimbi kubwa la wanaume tunahangaika na maisha kwajili ya kuwaridhisha warembo fulani au mama na dada zake, wanaume wengi saivi hatuwazi mambo makubwa tena, tumebakia kuwaza vitu vidogo vidogo sana, tunawaza kumiliki familia(Baba,mama,watoto) hatuwazi kumiliki kaya(Baba,Mama,na watu wengi tofauti) kama wazee wetu zamani walijitahidi kumiliki mashamba makubwa and etc kwa wakati huo ilikua sawa,

Kwa wakati wetu ilitakiwa mtu tuwaze kumiki Meli badala ya kuvimba na kiclown , Media house badala ya kuvimba na ki iphone, viwanda badala ya kuvimba kwa kimiliki kaduka ka nguo sinza.

Zamani majina ya babu zetu yalikua mazito, yani ukiambiwa uyu anatokea ukoo wa mzee fulani unaogopwa kama sio kuheshimika, kutokana na wazee walivoweza kua na maono ya kuona mbali so ikafanya kuheshimika ndani mpaka mipaka ya nje ya kaya yake.

Waliweza kusimama kama vidume bila kuyumbishwa na wanawake wala nini ndo maana waliweza kukaa na wanawake zaidi ya mmoja ndani na watoto wa mama tofauti na wote wakanyooka na kufwata sheria.

Leo hii wanaume tumekua hatuna maono tena hasa mbele ya hawa viumbe ambao kimsingi ndo MAMA na DADA zetu ila kihualisia sasa ni adui zetu.

Ukichunguza utaona wanaume kwa wanaume tumekua kama Insrael na Palestine juu ya swala la umiliki wa ardhi ikiwa wanufaika halisi ni nchi za nje ambao ndo wanawake, kiufupi wanawake wanatutumia sisi wenyewe kujiangamiza kwa faida zao binafsi.

Mwanamke akienda kutumika kwa mwanaume anahakikisha anatumia siraha yake vizuri “MWILI WAKE” kukumaliza kiuchumi na kujihimalisha yeye, maana moja ya siraha kubwa kwa mwanaume ukitoa akili ni uchumi wake.

Mwanamke amepumbaza silaha kuu ya mwanaume “AKILI” kwa kutumia silaha inayoitwa mapenzi yani anakuzima data zote kupitia hisia then ananza kukumanipulate kwa akili kubwa bila wewe kujijua mwisho unajikuta upo chini yake, kwa picha ya nje atakuaminisha huo ndio ushababi wenyewe so utavimba kichwa ila moyoni atakucheka maana tayari keshakuwin.

Note; siongelei mapenzi ya mke na mume pekee bali inajumuisha pia na mapenzi ya;
  • Mama kwa mtoto wa kiume.
  • Dada kwa kaka.

Sasa wanawake wanaamini raha na vitu vizuri vyote vya hii dunia ni kwajili yao, wanawake wamepigana vita baridi bila jasho wala damu na kufanikiwa kutugeuza wanaume WATUMWA/SLAVES wa haja zao, wamekua watawala kamili kisheria huku wakituongoza kihisia na kutudidimiza kiuchumi.

…Inaedelea..

Tuendelee…,

“Wanawake wanaupiga mwingi na sasa wanaume tumegeuzwa mpira”

Hawa viumbe naturally wanajua fika wanaume sisi ni adui zao ila sisi hatujui ilo, tunachojua wao ni Mama zetu na vipenzi vyetu, kwa kulitambua ilo wamefanikiwa kutengeneza system inayowalinda wao kwa kufubaza akili ya mwanaume, hawajali awe mtoto wake, ndugu yake au mume wake, atachojali ni kwamba huamke hasubui kwajili yake na urudi jioni kwajili yake na vyote ulivopata ni kwajili yake ili ye abaki kua safe hatakama usipokuwepo, mwisho wa siku vyote ulivotafuta vinabaki kumfanya kua strong we unabaki kua weak.

Labda nikufumbue kitu, jaribu kuchunguza migogoro mingi inayohusisha pande mbili hasa kwenye mambo ya mali ama fedha, kama wanawake hawatakuwepo kwenye huo mgogoro, wakikaa wanaume pekee walio nyooka bila kushikiwa akili zao na wanawake basi mambo mnayamaliza vizuri tuu tena kwa mda mfupi mtaelewana, ila kama huo mgogoro unahusisha wanawake ndani yake kwa namna ya yoyote ile huo mgogoro mtaishia kuuwana au kuharibiana.

Chunguza pia familia nyingi ambazo mama ametangulia mbele ya haki alafu akabaki Baba pekee, kama kuna watoto wawe wakiume ama wakike basi hawatomjali Baba wala mazingira anayoishi kama ambavyo angebaki mama yao.

Alafu chunguza familia ambazo amebaki mama pekee mzee alishatangulia mbele ya haki utaona matunzo mama anayopewa ni tofauti na kama angekuepo Baba pekee.

Kwaiyo mwanaume mwenzangu ulipo hapo na kuvimba kwako unatakiwa kujua watoto na mali ulizonazo kama ndo umetoa nguvu zako hapo zote ukiamini ndo vitakusaidia uzeeni unajidanganya utageuzwa kenge mmoja na hutoamini jinsi dakika 90 format inavogeuzwa na mpinzani na kuibuka mshindi.

Utaishi kwa kutegemea huruma yani Mama, akisema msaidieni baba yenu utapata msaada haraka tu, ila mama akisema achacheni na baba yenu ni mtu mbaya, hutokaa ule hata mia ya uzao wako, utatengwa na kutelekezwa means utazeeka ukiwa weak otherwise komaa ulinde uchumi wako, ila hata ujidanganye eti una achana na familia yako unatafuta binti mwingine wa kuoa tambua pia atakuja na format ile ile na mwisho wasiku ni kukusogeza kwenye kaburi mapema ili abaki akifaidi jasho lako kwa uhuru.

Kwa kifupi kwa mfumo alotengeneza mwanamke yani ukimuoa na ukabahatika kupata mali na watoto basi jua ivo vyote ni jeshi la mwanamke wako iko siku atavitumia kukuangamiza usipokua makini.

Ushajiuliza kwanini hatupaswi kumwonea mwanamke huruma?
Ushajiuliza kwanini masuperwoman ni wengi!
Ushajiuliza kwanini afya ya akili inatutesa zaidi wanaume kuliko wanawake!

…Nitarudi kudadavua solutions…
 
Mkuu hapo nataka koungezea..........hivi inakuaje ndugu Vijana, mmekulia toka udogoni mpaka mkaanza kuoa......hapo balaa linaanza, mwanamke anakuja kusambaratisha udugu wenu. Mpaka unaona kaka yako, ukimuuliza jambo mpaka akamuulize mke wake!!!!!!!
Kwa sababu anachopewa Kaka yake,ukoo mzima ulishindwa kumpa.na Hiko kitu chenyewe anapewa akiwa uchi.
Kuna nguvu kubwa sana ya kufanya kitu ukiwa uchiiii.
 
Sasa wewe mja tu, umekuta Bwana na nduguze wanaishi vizuri, unakuja kuleta fingonyingo!!!, huo ni ushetani na uroho mbaya. Hata wazazi wake Bwana huna haja nao!!!!
 
Mwanamke sumu yake ya kwanza ili amuue mwanaume kifikra ni kwakutumia hisia, anakuingiza kwanza kwenye hisia, mwanaume ukishakua emotional kwa mwanamke wako automatik umetoka kwenye nature ya kiume.

Kama theory ya Adam na Hawa ilivo ndo ayo yalomkuta Adam.

Unapomlea mwanao wa kiume muepushe mbali na kua emotional ni sumu kwa sisi wanaume.
 
Warning, huu uzi ni special kwa wanaume tu.

Wazee, nawasalimu popote mlipo kwenye maangaiko ya kujitafutia, Mungu atubariki na atuongezee rikizi zetu kwenye hii dunia ya majaribu.

Wanaume wenzangu, ivi mnajua sisi ndo chaguo namba moja “1” la miungu yote ya hapa Duniani hadi Mungu wa mbinguni, sasa kwanini tumekua dhaifu!

Miaka ya ivi karibuni ukichunguza utagundua wimbi kubwa la wanaume tunahangaika na maisha kwajili ya kuwaridhisha warembo fulani au mama na dada zake, wanaume wengi saivi hatuwazi mambo makubwa tena, tumebakia kuwaza vitu vidogo vidogo sana, tunawaza kumiliki familia(Baba,mama,watoto) hatuwazi kumiliki kaya(Baba,Mama,na watu wengi tofauti) kama wazee wetu zamani walijitahidi kumiliki mashamba makubwa and etc kwa wakati huo ilikua sawa,

Kwa wakati wetu ilitakiwa mtu tuwaze kumiki Meli badala ya kuvimba na kiclown , Media house badala ya kuvimba na ki iphone, viwanda badala ya kuvimba kwa kimiliki kaduka ka nguo sinza.

Zamani majina ya babu zetu yalikua mazito, yani ukiambiwa uyu anatokea ukoo wa mzee fulani unaogopwa kama sio kuheshimika, kutokana na wazee walivoweza kua na maono ya kuona mbali so ikafanya kuheshimika ndani mpaka mipaka ya nje ya kaya yake.

Waliweza kusimama kama vidume bila kuyumbishwa na wanawake wala nini ndo maana waliweza kukaa na wanawake zaidi ya mmoja ndani na watoto wa mama tofauti na wote wakanyooka na kufwata sheria.

Leo hii wanaume tumekua hatuna maono tena hasa mbele ya hawa viumbe ambao kimsingi ndo MAMA na DADA zetu ila kihualisia sasa ni adui zetu.

Ukichunguza utaona wanaume kwa wanaume tumekua kama Insrael na Palestine juu ya swala la umiliki wa ardhi ikiwa wanufaika halisi ni nchi za nje ambao ndo wanawake, kiufupi wanawake wanatutumia sisi wenyewe kujiangamiza kwa faida zao binafsi.

Mwanamke akienda kutumika kwa mwanaume anahakikisha anatumia siraha yake vizuri “MWILI WAKE” kukumaliza kiuchumi na kujihimalisha yeye, maana moja ya siraha kubwa kwa mwanaume ukitoa akili ni uchumi wake.

Mwanamke amepumbaza silaha kuu ya mwanaume “AKILI” kwa kutumia silaha inayoitwa mapenzi yani anakuzima data zote kupitia hisia then ananza kukumanipulate kwa akili kubwa bila wewe kujijua mwisho unajikuta upo chini yake, kwa picha ya nje atakuaminisha huo ndio ushababi wenyewe so utavimba kichwa ila moyoni atakucheka maana tayari keshakuwin.

Note; siongelei mapenzi ya mke na mume pekee bali inajumuisha pia na mapenzi ya;
  • Mama kwa mtoto wa kiume.
  • Dada kwa kaka.

Sasa wanawake wanaamini raha na vitu vizuri vyote vya hii dunia ni kwajili yao, wanawake wamepigana vita baridi bila jasho wala damu na kufanikiwa kutugeuza wanaume WATUMWA/SLAVES wa haja zao, wamekua watawala kamili kisheria huku wakituongoza kihisia na kutudidimiza kiuchumi.

…Inaedelea..
Mkuu,samahani!
Nakuomba unitumie PDF ya huu ujumbe ambao nilipaswa kuupata kutoka kwa babu yangu wakati wa kuota moto kwenye kikome jioni ama usiku.
 
Tuendelee…,

“Wanawake wanaupiga mwingi na sasa wanaume tumegeuzwa mpira”

Hawa viumbe naturally wanajua fika wanaume sisi ni adui zao ila sisi hatujui ilo, tunachojua wao ni Mama zetu na vipenzi vyetu, kwa kulitambua ilo wamefanikiwa kutengeneza system inayowalinda wao kwa kufubaza akili ya mwanaume, hawajali awe mtoto wake, ndugu yake au mume wake, atachojali ni kwamba huamke hasubui kwajili yake na urudi jioni kwajili yake na vyote ulivopata ni kwajili yake ili ye abaki kua safe hatakama usipokuwepo, mwisho wa siku vyote ulivotafuta vinabaki kumfanya kua strong we unabaki kua weak.

Labda nikufumbue kitu, jaribu kuchunguza migogoro mingi inayohusisha pande mbili hasa kwenye mambo ya mali ama fedha, kama wanawake hawatakuwepo kwenye huo mgogoro, wakikaa wanaume pekee walio nyooka bila kushikiwa akili zao na wanawake basi mambo mnayamaliza vizuri tuu tena kwa mda mfupi mtaelewana, ila kama huo mgogoro unahusisha wanawake ndani yake kwa namna ya yoyote ile huo mgogoro mtaishia kuuwana au kuharibiana.

Chunguza pia familia nyingi ambazo mama ametangulia mbele ya haki alafu akabaki Baba pekee, kama kuna watoto wawe wakiume ama wakike basi hawatomjali Baba wala mazingira anayoishi kama ambavyo angebaki mama yao.

Alafu chunguza familia ambazo amebaki mama pekee mzee alishatangulia mbele ya haki utaona matunzo mama anayopewa ni tofauti na kama angekuepo Baba pekee.

Kwaiyo mwanaume mwenzangu ulipo hapo na kuvimba kwako unatakiwa kujua watoto na mali ulizonazo kama ndo umetoa nguvu zako hapo zote ukiamini ndo vitakusaidia uzeeni unajidanganya utageuzwa kenge mmoja na hutoamini jinsi dakika 90 format inavogeuzwa na mpinzani na kuibuka mshindi.

Utaishi kwa kutegemea huruma yani Mama, akisema msaidieni baba yenu utapata msaada haraka tu, ila mama akisema achacheni na baba yenu ni mtu mbaya, hutokaa ule hata mia ya uzao wako, utatengwa na kutelekezwa means utazeeka ukiwa weak otherwise komaa ulinde uchumi wako, ila hata ujidanganye eti una achana na familia yako unatafuta binti mwingine wa kuoa tambua pia atakuja na format ile ile na mwisho wasiku ni kukusogeza kwenye kaburi mapema ili abaki akifaidi jasho lako kwa uhuru.

Kwa kifupi kwa mfumo alotengeneza mwanamke yani ukimuoa na ukabahatika kupata mali na watoto basi jua ivo vyote ni jeshi la mwanamke wako iko siku atavitumia kukuangamiza usipokua makini.

Ushajiuliza kwanini hatupaswi kumwonea mwanamke huruma?
Ushajiuliza kwanini masuperwoman ni wengi!
Ushajiuliza kwanini afya ya akili inatutesa zaidi wanaume kuliko wanawake!

…Nitarudi kudadavua solutions…
Ndio maana zamani wanaume tulikuwa tuna zaa watoto wengi kwa mama tofauti tofauti ili kujaribu kupata watoto wenye malezi na tabia tofauti tofauti.

Siku hizi eti mwanamke anakulazimsha mzae watoto wa 3 tu kwa madai ya kupumzika asizeeke haraka na vimwanaume vyao navyo vinakubali.
 
Sasa wewe mja tu, umekuta Bwana na nduguze wanaishi vizuri, unakuja kuleta fingonyingo!!!, huo ni ushetani na uroho mbaya. Hata wazazi wake Bwana huna haja nao!!!!

Mwanamke hawezi kuleta amani kwa usawa, hawana hekima iyo.

Mf. Mke akigombana na majirani atahitaji ukapigane nao. Kama akili zako za kiume ziko seized utaenda kupigana nao kweli ila kama zinafanya kazi vizuri utashughulikia wote mke na hao majirani kwa pamoja, kila mtu kwa namna yake kulingana na kosa lake.
 
Kwa sababu anachopewa Kaka yake,ukoo mzima ulishindwa kumpa.na Hiko kitu chenyewe anapewa akiwa uchi.
Kuna nguvu kubwa sana ya kufanya kitu ukiwa uchiiii.
Eeehe! Ndo maana wanga na wachawi wanatusumbua sana.Dah!
 
Tuendelee…,

“Wanawake wanaupiga mwingi na sasa wanaume tumegeuzwa mpira”

Hawa viumbe naturally wanajua fika wanaume sisi ni adui zao ila sisi hatujui ilo, tunachojua wao ni Mama zetu na vipenzi vyetu, kwa kulitambua ilo wamefanikiwa kutengeneza system inayowalinda wao kwa kufubaza akili ya mwanaume, hawajali awe mtoto wake, ndugu yake au mume wake, atachojali ni kwamba huamke hasubui kwajili yake na urudi jioni kwajili yake na vyote ulivopata ni kwajili yake ili ye abaki kua safe hatakama usipokuwepo, mwisho wa siku vyote ulivotafuta vinabaki kumfanya kua strong we unabaki kua weak.

Labda nikufumbue kitu, jaribu kuchunguza migogoro mingi inayohusisha pande mbili hasa kwenye mambo ya mali ama fedha, kama wanawake hawatakuwepo kwenye huo mgogoro, wakikaa wanaume pekee walio nyooka bila kushikiwa akili zao na wanawake basi mambo mnayamaliza vizuri tuu tena kwa mda mfupi mtaelewana, ila kama huo mgogoro unahusisha wanawake ndani yake kwa namna ya yoyote ile huo mgogoro mtaishia kuuwana au kuharibiana.

Chunguza pia familia nyingi ambazo mama ametangulia mbele ya haki alafu akabaki Baba pekee, kama kuna watoto wawe wakiume ama wakike basi hawatomjali Baba wala mazingira anayoishi kama ambavyo angebaki mama yao.

Alafu chunguza familia ambazo amebaki mama pekee mzee alishatangulia mbele ya haki utaona matunzo mama anayopewa ni tofauti na kama angekuepo Baba pekee.

Kwaiyo mwanaume mwenzangu ulipo hapo na kuvimba kwako unatakiwa kujua watoto na mali ulizonazo kama ndo umetoa nguvu zako hapo zote ukiamini ndo vitakusaidia uzeeni unajidanganya utageuzwa kenge mmoja na hutoamini jinsi dakika 90 format inavogeuzwa na mpinzani na kuibuka mshindi.

Utaishi kwa kutegemea huruma yani Mama, akisema msaidieni baba yenu utapata msaada haraka tu, ila mama akisema achacheni na baba yenu ni mtu mbaya, hutokaa ule hata mia ya uzao wako, utatengwa na kutelekezwa means utazeeka ukiwa weak otherwise komaa ulinde uchumi wako, ila hata ujidanganye eti una achana na familia yako unatafuta binti mwingine wa kuoa tambua pia atakuja na format ile ile na mwisho wasiku ni kukusogeza kwenye kaburi mapema ili abaki akifaidi jasho lako kwa uhuru.

Kwa kifupi kwa mfumo alotengeneza mwanamke yani ukimuoa na ukabahatika kupata mali na watoto basi jua ivo vyote ni jeshi la mwanamke wako iko siku atavitumia kukuangamiza usipokua makini.

Ushajiuliza kwanini hatupaswi kumwonea mwanamke huruma?
Ushajiuliza kwanini masuperwoman ni wengi!
Ushajiuliza kwanini afya ya akili inatutesa zaidi wanaume kuliko wanawake!

…Nitarudi kudadavua solutions…
Ila hapo Kwa mama Mimi nashindwa kukuelwa vizuri japo nakupata kidogo hasa pale mama anapokuwa na shida na pesa haswa kwenye mambo yao ya vikoba huko apo atatumia mbinu Ili Apte Hela Toka Kwa mwanae (ikiwa anashida nayo sana afu wewe unayo pesa ila jaitoshi kumpa )
 
Ndio maana zamani wanaume tulikuwa tuna zaa watoto wengi kwa mama tofauti tofauti ili kujaribu kupata watoto wenye malezi na tabia tofauti tofauti.

Siku hizi eti mwanamke anakulazimsha mzae watoto wa 3 tu kwa madai ya kupumzika asizeeke haraka na vimwanaume vyao navyo vinakubali.

Upungufu wa akili za kiume ndo unatusumbua mkuu, hatuna ile natural power yetu yakuweza kuongoza na kutawala.
 
Back
Top Bottom