Ukizijua bei ya viatu original zilie brand kubwa alafu ukapitia huu uzi ukaangalia na bei za humu,inabidi tu upite kimyakimya usimwaribie mpambanaji rizki yake.Nimejaribu kwenda kutazama kiatu original cha Clarks mitaa fulani ya Ujerumani kwenye duka lao wao watu wa Clarks, nikavitathmini viatu vilivyomo mle na boot tunazovaaga Bongo. Nilichogundua sijawahi kuvaa kiatu original cha Clarks. Poor me!!! €120 (~310,000/=) ndiyo bei na ni offer ya Christmas (Weihnachten)!!!
Ukizijua bei ya viatu original zilie brand kubwa alafu ukapitia huu uzi ukaangalia na bei za humu,inabidi tu upite kimyakimya usimwaribie mpambanaji rizki yake.
Sawa mkuu.Wewe ni mjasiria mali/mpambanaji mwenzangu,naunga mkono jitahada zako.big up.Kila taifa linakuwa na Grade yake inaingiza kulingana na hitaji.. kwa sisi hiyo stock ni grade bora kabisa..kama hizo tu tunaiuza laki na nusu mpaka laki 2. Watu wanalia lia bei.. vipi hizo oG zikiletwa hapa bongo kwa laki 5 mpaka 6 mtanunua??
Pia kumbuka sometime quality ya bidhaa huweza kuwa same ila hudepend wapi unainunua.. kama mimi kiatu ntauza laki na nusu kkoo..same quality ukiikuta posta or Mlimani usishangae ikawa laki 3.
Hii nyeusi IPO?Lacoste na Levis OG kabisa kwa Laki na nusu tu bila zaidi.View attachment 944506View attachment 944507
Shame on you.kwanini usianzishe uzi wako ukaweka hizo bei unazosema?Hii ni biashara ya mtu na ndo maaisha yake yanayomweka mjini usilete ujuaji.M nilinyamaza japo nilimwambia yupo juu bila kumpa refference nisome upepo ila wewe umefunguka, hv viatu Naapa kwa dini yang na leo n jumapili nilivikuta k.koo chimbo flan hv wanauza 95K mwez huu huu mwanzoni, japo niligundua wakat nishanunua kwa 120 mwenge tena travota, na cracks ya kawaida isiyoenda juu nikachukua kwa 100k wakat k koo n 90k ikienda sana, hata kama wamepanda sana haiwez zidi 130k tena hapo nazungumzia kwa hzo zilizoenda juu kama hio cracks ya brown ya tatu kutoka juu, Ndio maduka meng wanauza kwa 130k-150k ila huyu ndugu yetu kazid, 180? Khaaa.... Anayebisha anipe 130 na kdg ya udalali nikamletee weekend nikija town, lengo sio kuharibiana lengo ni kutafuta mazingira ya kufaidika na kupata kdg(hio hamna asiependa) bila kumuumiza sana mwenzako.
Lengo langu si kuharibu biashara yako ila nataka kusema ukweli kwamba hapo hakuna "Original" hata moja. Hizo ni zile Copy za Brand Kubwa za Viatu. Wale wenye uelewa watakuwa wamenielewa vizuri sana. Bongo tuna Tatizo kubwa sana la kuuziwa vitu Fake tukidanganywa kuwa ni Original! Mfano bidhaa kama Saa,nyingi zinaozouzwa Bongo ni Fake., unakuta eti Brand kama Rolex au Hublot Dukani inauzwa Tsh 150,000/= a piece! Tunaibiwa sana maana hawa wafanyabiashara tunawapa faida Maradufu kwa kutuuzia Midosho!
Punguza Povuu utatanua moyo bila sababu za msingi😀😀Shame on you.kwanini usianzishe uzi wako ukaweka hizo bei unazosema?Hii ni biashara ya mtu na ndo maaisha yake yanayomweka mjini usilete ujuaji.
Haijalish vinauzwa shiling ngapi huko kariakoo,Haijalishi ni fake ama OG.Ulitaka awe kibaka awakabe apigwe afe?wacha ajitafte ridhki kwa style yake.
Ndivyo wabongo walivyo ndugu..so hata hatupotezi muda mwingi kuweka malumbano naoShame on you.kwanini usianzishe uzi wako ukaweka hizo bei unazosema?Hii ni biashara ya mtu na ndo maaisha yake yanayomweka mjini usilete ujuaji.
Haijalish vinauzwa shiling ngapi huko kariakoo,Haijalishi ni fake ama OG.Ulitaka awe kibaka awakabe apigwe afe?wacha ajitafte ridhki kwa style yake.
Mkuu una option ya kununua upendacho.. kila kiatu kina Grade yake.. sasa mpaka umri huo unashindwa jua tofauti ya bei katika bidhaa?Kwa hali hii ya sasa, hivi kuna vya shilingi 2,000 mpaka 5,000 hapo? Na kama hakuna kwanini unauza bei mbaya, una maana gani?
Mnunulie shemejiViatu vizuri mnoooo
Mnunulie shemeji