Eeehh mzee baba nikajua kuna offer za sikukuu kumbe ni mle mle tu?[emoji16] boss bwana. Hamna mbaya vingi hapo ni 180. Na baadhi 150.
Najua asee miguu ya haja kama hiyo sio midoshoKwa hizo sumu..hiyo bei nyasi mno mkuu japo najua unavijua sana viatu chief
nitakucheki kwa hiyo namba juu hapoLacoste na Levis OG kabisa kwa Laki na nusu tu bila zaidi.View attachment 944506View attachment 944507
tena kwa lorry la tani 10 hapo kudadek...kuatu sawa na trip ya mchanga....