nipe bei hapo mkuu
duka liko wapiKiatu unachopata Laki 3 sehemu nyingine mimi nakuuzia kwa bei isiyozidi 180 elf. (Laki na 80)
Karibuni wakubwa zangu. DELIVERY popote.
Mzee baba unawaza kuhesabiwa tu [emoji16][emoji16][emoji41][emoji41]Aseeee mizigo yenyewe hii. Taja bei mkuu ila angalia sikukuu hii hapa tusije kosa nauli ya kwenda kuhesabiwa
Hahaha hiyo ni pi asee..Mzee baba unawaza kuhesabiwa tu [emoji16][emoji16][emoji41][emoji41]
22/7 au 3.14 hahahHahaha hiyo ni pie asee..
Ndio hivyo.. We siupo fasi hizo niaje nilitimba nitakusorora arif22/7 au 3.14 hahah
Hatari sana mkuutena kwa lorry la tani 10 hapo kudadek...
Aiseee wapi hiyoNdio hivyo.. We siupo fasi hizo niaje nilitimba nitakusorora arif
[emoji23][emoji23][emoji23] we kausha.. si hapo gachuland au ushaamsha mambele?Aiseee wapi hiyo
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Haiko kwere bablay[emoji23][emoji23][emoji23] we kausha.. si hapo gachuland