Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 9,777
- 13,878
mwl. wa chuo kikuu ndio NECTA.
Mkuu data unamaanisha nini?
mwl. wa chuo kikuu ndio NECTA.
Mkuu data unamaanisha nini?
Online flirting is not good at all............unakuwa na maexpectation kibaoooooo
what do u think..??
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu

Mimi mwenyewe nina mchumba tena nimempata humu humu jf.Na wote ni walimu,tunapendana kupita maelezo,december atakuja kuwasalimu wazazi Moshi.Na siku taratibu zitakapokamilika nitaweka tangazo humu la mualiko wa harusi yetu.Mtaishia kugawa papuchi zenu kwa mikopo,wenzenu tunaoa na kula tamu za ndoa.LAITI MNGEFAHAMU KUNA WALIMU WANA MAISHA SAFI KULIKO HAO MABWANA ZENU WANAOWAKOPA.JIPANGENI SANA!
hahahahahaha bora sisi tunaotumia kiswahili siku ukituona unakuta mnyamwezi wa ukweli