usiombee utongozwe na mwalimu hapa jamii forums

usiombee utongozwe na mwalimu hapa jamii forums

Status
Not open for further replies.
kwani walimu ni watu pekee wenye kipato cha chini? na kuwa na kipato cha chini ni dhambi?au utu wa mtu unaishaaa? huyo anaishi kwa kukariri na kwa mazoea na anonekana kwake kilicho muhimu ni pesa tuuu.............mmh1
 
Nimecheka mie pm kuna mambo,,,,, siku mods wakifanya pm ziwe nyuzi kuna watu watakimbia id zao.!!!!!!
 
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu

mtoa labda uwe umetoa post yako kwa lengo la joke kama ni serious utakuwa na akili ya kitoto. Naomba niishie hapo
 
ushatongozwa na wangap na ushakutana na wangap?
 
walimu vicheche utawajua tu....wanaishia megwa na watendaji kata..
 
ukitaka kujua ualimu haufai kagombee nafasi yeyote ya kisiasa hasa ubunge,utapata majibu.
 
hii thread imenichekesha sana ....humu jf ni majangaaa loh tuendelee kutojuana tu heshima iwepo mtu anajifanya kama nani sijui kumbe hamna kitu..!halafu wale waukweli wametulia wa ajabu ajabu ndo pm kila saa..!
 
Kwani nawe unajisel?so ulivoskia kiingeleza ukasalvate

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Cha kushangaza ukiwa mwalimu wa chuo kikuu wanapagawa kweli. Wakijua upo DUCE hata kama unafundisha jogoolafyaa ukawakata sana. Mabinti (sio wote) wana mentality ya ajabu sana.
Dawa yao ni fiksi tuu.
 
Cha kushangaza ukiwa mwalimu wa chuo kikuu wanapagawa kweli. Wakijua upo DUCE hata kama unafundisha jogoolafyaa ukawakata sana. Mabinti (sio wote) wana mentality ya ajabu sana.
Dawa yao ni fiksi tuu.

mwl. wa chuo kikuu ndio NECTA.
 
Kwani nyie mkitongozwa ni lazima mkute mambo safi???????
Jipangeni bhana na pia muwe ma miss independent...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom