tata mvoni
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 534
- 81
Hee!! Kumbe kuna jogoo la afya ya wanawake?
Jogorafia na hesabu, hasa jogorafia ya mwanamke

Madam,
Walimu nchi hii wanadharaulika sana sijui kwanini?
Wananunulika kirahisi na maccm kipindi cha uchaguzi.
duh natamani ningekuona siku hiyo ulipokua umeingia choo cha kiume,
yaani we acha tu......kuna magarasha humu.....usiombe........
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu

Tetetetet wadada wa siku hizi bana!!! mapenzi yameenda wapi..hapo kwenye red??:A S-confused1:umeonaa eeh kitu cha ukweli inaweza ujihonge mzima mzima ..ila ndo hivo utakuta ni nanihii kongowe eti ...ze wallet is ziro balance
ahahaaa mbavu zangu mie...hao walimu wanatufundishia watoto wetu lakini jamani
serikali angalieni walimu pls..watu watakataa hii fani sasa
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu
Jogorafia na hesabu, hasa jogorafia ya mwanamke
kuna usemi kwamba kumpata mwanamke lazima 'umdanganye kidogo' ukiwa mkweli 100% humpati (sijawahi kuuijaribu hii mi huwa niko wazi sana sipendi kudanganya)....na nadhani hii inasababishwa na expectations kubwa sana za wadada kwa wanaume..dreams ,....kama mleta sredi anavothibitisha kwamba 'utadhani ni mudiplomati, wa un, embassy, "......kwani siye waalimu sio wanaume jamani?
Cc mwallu gfsonwin baba v kongosho and all teachers up there big up saana
ahaaa mwanaume majukumu banaTetetetet wadada wa siku hizi bana!!! mapenzi yameenda wapi..hapo kwenye red??:A S-confused1: