usiombee utongozwe na mwalimu hapa jamii forums

usiombee utongozwe na mwalimu hapa jamii forums

Status
Not open for further replies.

yaani we acha tu......kuna magarasha humu.....usiombe........
bora sisi tuliojilipua tunajuana...hebu tufanye zetu mchakato tukale zetu raha shosti...waaai
 
Basi hayo ya yardang, stalagmite na stalactite ndo pake hapa, bila kusahau zeugen.

ooh a level nilisoma cbg nilikuwa sipendi kabisa physical geography !kukariri yale mafeature mimi hoi huo muda nilikuwa naona bora nisome biology ! ngoja nitakuja unifundishe mwalimu .....hesabu sina shida kiivo
 
Hivi bila huyo Mwalimu unayemponda sasa hivi ungeweza kuandika hii post yako humu JF??? Fikiria kwanza kabla ya kupost haya mashudu yako humu ndani..
 
Basi hayo ya yardang, stalagmite na stalactite ndo pake hapa, bila kusahau zeugen.
ahaaaaa hayo mavitu yalikuwepo yaani mimi sikuyasoma kabisa ujue ..nilichokifanya nilikuwa mkali kwenye bio na chemistry na paper two ya geo nikawa fresh nadhani nilipata d ila haya masomo mengine nikawa fresh so yakasawazisha mambo ! tulikuwa tunajiita cbg combination of beatiful girls! kuna best yangu yeye alikuwa ananitoa sana kunifundisha alienda geology mlimani mimi niliogopa maana nilikuwa sipendi geograpy yupo vizuri balaa sasa! yupo south mining huko ! mi nakula vumbi tu hapa bongo
 
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu

dah pole sana,jamaa kapiga mkopo afu kadai mshahara haujatoka nini?yaani hapo ndo humuoni tena,bora ungemwambia cash
 
ha ha ha......shosti pole......jamii forum kuna senema za kutosha wallah...........ila kuna watu kizunguzungu jamani........full mashauzi.....njoo muone sasa.......mweeeee........

kwani kuwa mwalimu ni dhambi?
 
tichaaaaaaa njoo ulipie gharama ulizotumia,siku hizi hamna cha bure,ona unavyonangwa sasa!!!
 
unajua nini kwa mtu anayedharau ualimu ni.nyang'au kabisa. kama sio mwalimu yungekuwa wapi sisi wote hapa duniani. huh? mpuzzi sann
 
Basi hayo ya yardang, stalagmite na stalactite ndo pake hapa, bila kusahau zeugen.

Mkuu Kongosho umesahau na ile feature kwenye topic ya coast nadhani inaitwa TOMBORO..yan ikitoka kwenye pepa kama umekaa na mdada lazima upate hilo swali,maana wanaijua vilivyo
 
Last edited by a moderator:
kwani kuna ubaya gani kutongozwa namwalimu?au hadhi yako ni akina nani? na unakazi gani hiyo ya maana hivyo mpaka uwadharau wenzako hivyo?....sitakushangaa sana kama wewe ndiyo golikipa haswa anaye thamini watu kwa fedha zao ni siyo utu wao mmmh.................tafakari chukua hatua....
 
Huu uzi unatakiwa kufanyiwa upembuzi yakinifu
 
kwani kuna ubaya gani kutongozwa na mwalimuuuu??????

Tatizo siyo ualimu tatizo ni kipato kidogo kwa mujibu wa mtoa mada. Mi mwenyewe nimesikitika kuwananga walimu wetu jamani, wametufuta sisi wote ujinga... Alafu siyo kosa lao serikali ndiyo inawanyonya..
Poleni walimu, one day Yes!!! Mi binafsi nawaheshimu sana Walimu!! Nipo hapa sababu yao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom