Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Unamtafta wa kumuuzia k.so umeona walimu hawawezi bei ya k yako. Nenda kawauzie hao mapedeshee.
Basi hayo ya yardang, stalagmite na stalactite ndo pake hapa, bila kusahau zeugen.
Aisee!!!!!
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu
kuna usemi kwamba kumpata mwanamke lazima 'umdanganye kidogo' ukiwa mkweli 100% humpati (sijawahi kuuijaribu hii mi huwa niko wazi sana sipendi kudanganya)....na nadhani hii inasababishwa na expectations kubwa sana za wadada kwa wanaume..dreams ,....kama mleta sredi anavothibitisha kwamba 'utadhani ni mudiplomati, wa UN, embassy, "......kwani siye waalimu sio wanaume jamani?
cc mwallu gfsonwin Baba V Kongosho and all teachers up there big up saana
ha ha ha......shosti pole......jamii forum kuna senema za kutosha wallah...........ila kuna watu kizunguzungu jamani........full mashauzi.....njoo muone sasa.......mweeeee........
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu
Utoto unakusumbua..
Kwa namna ulivyoandika ni rahisi mno mtu kusoma uwezo mdogo uliona nao katika kupambanua na ndio maana umejikuta unaangukia pua.
Kwa hiyo wewe moja kwa moja unaamini kuwa mwanaume ambaye anaongea Kiingereza kwa ufasaha na madaha huyo moja kwa moja ni 'bonge la bwana'.
Halafu kwa bahati mbaya unaonekana ni a sort of money money monger ndio maana ulipokutana na Umombo ukajua umepata mwanaume mfanyakazi wa hayo mashirika uloyataja kumbe umepatikana.
The joke is on you...
a.k.a Kusexchatishana!!!