Usiombe uoe au uolewe na Mbungu

Usiombe uoe au uolewe na Mbungu

Ozzie

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Posts
3,217
Reaction score
1,273
Ukioa Mbungu, usimuudhi. Ukimuudhi atatoka nyumbani na kwenda kilimani akuporomoshee matusi.
Tusi lao kubwa lilikuwa kumpopotoa Kikwete na mawe baada ya kuahirisha ghafla kuwatembelea kwa sababu ya kukosa muda.
Wana dharau kama ya wahehe, hata kama ni maskini.
 
Tutake radhi watu wa chunya,Mbeya!!
 
Back
Top Bottom