Usikubali kufanywa mdogo na yeyote

Usikubali kufanywa mdogo na yeyote

Kwa dunia ya sasa, nadhani si mwanaume wala mwanamke asiyeweza kujua ni kitu gani anachohitaji
Nadhani kila mtu anajua thamani yake

Huwa nashangaa sana ninapoona mtu akitumia nguvu kubwa kumfanya mtu mwingine ajihisi au ajione mdogo

Na kisha huyo mtu anakubali kabisa na kuanza kujiona mdogo na kujishusha thamani

Mbinu hii ya kutaka kuwafanya wengine wajihisi wadogo hutumiwa na watu wadogo wanapotaka kuweka mizani sawa

Huna haja ya kukubali hizi mbinu zisizo na maana yeyote

Ni ukweli usiopingika kwamba duniani tupo katika viwango tofauti sana
Kuna watu walio kwenye high level, kuna walio kwenye low level, na kuna walio kwenye average level

Lakini licha ya yote hayo, confidence inaweza kumbeba sana mtu

Yes hata ukiwa mtu wa kiwango cha chini kiasi gani
Ukiwa na confidence unaweza kufanya vingi na vitu postitive
Unaweza kuitwa kwenye interview, ukaweza kujieleza vizuri bila hofu na ukafaulu

Unaweza kuanzisha biashara ndogo na ukafanikiwa

Watu wanasema bila pesa huwezi kuwa na confidence
Mimi hilo sioni kuwa ni kweli, au kama kuna ukweli ndani yake, basi ni mdogo sana

Ukiwa na confidence, uwezekano wa kuzipata pesa unakuwa mkubwa pia

Watu waoga waoga huwa wanachukua muda mrefu sana kufikia malengo au wasifikie kabisa matamanio yao

Ujumbe wangu wa leo ni huu:
No matter what, huna haja ya kukubali kufanywa mdogo na yeyote

Hasa sisi wanawake, huna haja ya kujiona wa kawaida
Na hii si kiburi wala jeuri ni moja ya njia za kujiwekea kiwango na mipaka ambayo si kila mtu anaweza kuvuka

Mimi : ShesRise_1
hupendelea kusema:👇

Mimi si wa kawaida, ila wewe unaponitazama mimi na ukaniona wakawaida
wewe ndiyo wa kawaida sana kiasi kwamba huwezi kuona viwango vyangu.

Wewe mdau umewahi kujihisi mdogo?
Nini kili rudisha confidence yako?

ShesRise_1 🤚
Inspiration
 
Karibu kila siku.

Hao wanapanguliwa kwa logic tu.

It is not a matter of nani mkubwa na nani ndogo, it is a matter of what it true.

Mara nyingi wanatumia logical fallacies kama ad hominem, non sequitur, strawman argument.

You just point out the logical fallacies.

I do that everyday here.
How to win those arguments broo
 
Mkuu maada fikirishi hii

Hawa watu wapo wengi sana binafsi huwa nawaona ni watu wenye tabia/tatizo la INFERIORITY COMPLEX, anaweza kuwa mtu mzima, rika yako au hata mdogo kwako.

Watu kama hawa mara nyingi hawawezi kutoa mawazo/maoni yao pasipo kudogodesha utu au maoni ya mtu mwingine. Inshort atatafuta madhaifu/ubovu wako ili atumie kama escape ladder.

Binafsi nikikutana na watu wa namna hiyo na akaonesha hiyo tabia huwa nabaki kumtazama na kujiuliza maswali hii tabia ameitoa wapi? Bado huwa napata maswali mengi sana na watu wenye tabia ya namna hiyo.

Sioni kama hiyo tabia ni udhaifu bali naiona kama ni tabia ambayo mtu hujifunza kutokana na mazingira au makuzi, mtu kuonewa/kupigwa sana wakati mdogo au pia inaweza kutokana na mtu kukataliwa sana katika mazingira aliyokulia, na mwisho nafikiri bullying pia huchochea mtu kupata hiyo shida.

Labda kuongeza mjadala na kujifunza zaidi wadau watuambie ni nini kinaweza kuwa chanzo cha hiyo tabia???
 
Mkuu maada fikirishi hii

Hawa watu wapo wengi sana binafsi huwa nawaona ni watu wenye tabia/tatizo la INFERIORITY COMPLEX, anaweza kuwa mtu mzima, rika yako au hata mdogo kwako.

Watu kama hawa mara nyingi hawawezi kutoa mawazo/maoni yao pasipo kudogodesha utu au maoni ya mtu mwingine. Inshort atatafuta madhaifu/ubovu wako ili atumie kama escape ladder.

Binafsi nikikutana na watu wa namna hiyo na akaonesha hiyo tabia huwa nabaki kumtazama na kujiuliza maswali hii tabia ameitoa wapi? Bado huwa napata maswali mengi sana na watu wenye tabia ya namna hiyo.

Sioni kama hiyo tabia ni udhaifu bali naiona kama ni tabia ambayo mtu hujifunza kutokana na mazingira au makuzi, mtu kuonewa/kupigwa sana wakati mdogo au pia inaweza kutokana na mtu kukataliwa sana katika mazingira aliyokulia, na mwisho nafikiri bullying pia huchochea mtu kupata hiyo tabiya
Sijui hua shida ni nini!
Kuna watu hupenda kuona wenzao wakijisikia duni sana kwa kejeli za wazi au matendo yanayoashiria kumshusha mtu kiwango cha utendaji au cha kufikiri kwa kina
sijui hapo kuna raha gani au faida gani mtu anapata kwa kufanya hivyo
Labda kuongeza mjadala na kujifunza zaidi wadau watuambie ni nini kinaweza kuwa chanzo cha hiyo tabia???
Mi sina hakika sana ila nadhani wivu na roho mbaya au kisasi pengine alitendewa hivyo so anadhani akidogosha wengine kihisia atakua amelipa
Lakini kumbuka unaemdogosha hakua sehemu ya maumivu yako
 
Kwa dunia ya sasa, nadhani si mwanaume wala mwanamke asiyeweza kujua ni kitu gani anachohitaji
Nadhani kila mtu anajua thamani yake

Huwa nashangaa sana ninapoona mtu akitumia nguvu kubwa kumfanya mtu mwingine ajihisi au ajione mdogo

Na kisha huyo mtu anakubali kabisa na kuanza kujiona mdogo na kujishusha thamani

Mbinu hii ya kutaka kuwafanya wengine wajihisi wadogo hutumiwa na watu wadogo wanapotaka kuweka mizani sawa

Huna haja ya kukubali hizi mbinu zisizo na maana yeyote

Ni ukweli usiopingika kwamba duniani tupo katika viwango tofauti sana
Kuna watu walio kwenye high level, kuna walio kwenye low level, na kuna walio kwenye average level

Lakini licha ya yote hayo, confidence inaweza kumbeba sana mtu

Yes hata ukiwa mtu wa kiwango cha chini kiasi gani
Ukiwa na confidence unaweza kufanya vingi na vitu postitive
Unaweza kuitwa kwenye interview, ukaweza kujieleza vizuri bila hofu na ukafaulu

Unaweza kuanzisha biashara ndogo na ukafanikiwa

Watu wanasema bila pesa huwezi kuwa na confidence
Mimi hilo sioni kuwa ni kweli, au kama kuna ukweli ndani yake, basi ni mdogo sana

Ukiwa na confidence, uwezekano wa kuzipata pesa unakuwa mkubwa pia

Watu waoga waoga huwa wanachukua muda mrefu sana kufikia malengo au wasifikie kabisa matamanio yao

Ujumbe wangu wa leo ni huu:
No matter what, huna haja ya kukubali kufanywa mdogo na yeyote

Hasa sisi wanawake, huna haja ya kujiona wa kawaida
Na hii si kiburi wala jeuri ni moja ya njia za kujiwekea kiwango na mipaka ambayo si kila mtu anaweza kuvuka

Mimi : ShesRise_1
hupendelea kusema:👇

Mimi si wa kawaida, ila wewe unaponitazama mimi na ukaniona wakawaida
wewe ndiyo wa kawaida sana kiasi kwamba huwezi kuona viwango vyangu.

Wewe mdau umewahi kujihisi mdogo?
Nini kili rudisha confidence yako?

ShesRise_1 🤚
Mtu akitaka kukuona Mdogo anakupelekea uongo TEETH akishapeleka uongo wake kwa kuwa TEETH watakufuatilia na wakikuta una masuala hayajakaa sawa wataanza kukuvunjia heshima kupitia huko lazima utakuwa Mdogo tu
 
Sijui hua shida ni nini!
Kuna watu hupenda kuona wenzao wakijisikia duni sana kwa kejeli za wazi au matendo yanayoashiria kumshusha mtu kiwango cha utendaji au cha kufikiri kwa kina
sijui hapo kuna raha gani au faida gani mtu anapata kwa kufanya hivyo
Mi sina hakika sana ila nadhani wivu na roho mbaya au kisasi pengine alitendewa hivyo so anadhani akidogosha wengine kihisia atakua amelipa
Lakini kumbuka unaemdogosha hakua sehemu ya maumivu yako

Nafikiri ndio hiyo INFERIORITY COMPLEX yaani yeye anavyojiona anatamani na mwingine awe katika hiyo hali. Ni kama mafukara wanavyowasema vibaya matajiri(kafuga misukule, kamuua nani na nani sijui, atafirisika tuu). Yaani nafikiri ni hali anayokuwa nayo mtu ndani yake sasa namna ya kuitoa ndio hutamani aione kwa mtu mwingine pia.

Sidhani kama anapata faida yoyote kutokana na tabia hiyo ila nahisi ni kama anapata ahueni endapo ataona mtu mwingine yupo katika hali hiyo. Naweza kufananisha na zile kauli za TUKOSE WOTE.

Hata mimi huwa nashindwa kuwaelewa hapa, Mtu unaamua kumshushia mwingine maumivu yako. Sasa je! ni yeye aliyekupa hayo maumivu?? Bora ingekuwa anafanya kwa mtu mmoja yanaisha,Hapana unakuta kwa kila mtu yeye anafanya vitu vile vile. Sijajua shida huwa ni Nini kwakweli.
 
Wow hongera sana
Jazia nyama hapo kwenye kuchagua mtu mmoja wa kuzungumza nae
Hii imekaaje?
mfano unatakiwa uogee mbele ya watu mia kuliko uogee unawaagalia wote watu mia unamchagua mmoja wa katikati unakuwa unaogea unamtazama yeye kama vile yupo peke yake kumbe wapo weng ndo maana yang
 
Mtu akitaka kukuona Mdogo anakupelekea uongo TEETH akishapeleka uongo wake kwa kuwa TEETH watakufuatilia na wakikuta una masuala hayajakaa sawa wataanza kukuvunjia heshima kupitia huko lazima utakuwa Mdogo tu
Mtu akitaka kukuona Mdogo anakupelekea uongo TEETH akishapeleka uongo wake kwa kuwa TEETH watakufuatilia na wakikuta una masuala hayajakaa sawa wataanza kukuvunjia heshima kupitia huko lazima utakuwa Mdogo tu
Hawa ni wale kama ana picha zako za utupu anavujisha 😂😂

Who cares?
Watu wataongea kwa siku mbili siku ya 3 maisha yanasonga hakuna haja ya kua mdogo kwa mkutadha huo

Labda kama wadau walivyosema
Kua mdogo kwa nia ya kuongeza maarifa na kujifunza si vingenevyo
 
Nafikiri ndio hiyo INFERIORITY COMPLEX yaani yeye anavyojiona anatamani na mwingine awe katika hiyo hali. Ni kama mafukara wanavyowasema vibaya matajiri(kafuga misukule, kamuua nani na nani sijui, atafirisika tuu). Yaani nafikiri ni hali anayokuwa nayo mtu ndani yake sasa namna ya kuitoa ndio hutamani aione kwa mtu mwingine pia.

Sidhani kama anapata faida yoyote kutokana na tabia hiyo ila nahisi ni kama anapata ahueni endapo ataona mtu mwingine yupo katika hali hiyo. Naweza kufananisha na zile kauli za TUKOSE WOTE.

Hata mimi huwa nashindwa kuwaelewa hapa, Mtu unaamua kumshushia mwingine maumivu yako. Sasa je! ni yeye aliyekupa hayo maumivu?? Bora ingekuwa anafanya kwa mtu mmoja yanaisha,Hapana unakuta kwa kila mtu yeye anafanya vitu vile vile. Sijajua shida huwa ni Nini kwakweli.
Hii mimba ya visasi kwa wasiohusika na maumivu yako ikikomaa sana inazaa chuki hasa akigundua kila anachokifanya kukuny'ongonyeza hakizai matunda

Mtu huyu anatakiwa counselling
Hilo ni tatizo
 
mfano unatakiwa uogee mbele ya watu mia kuliko uogee unawaagalia wote watu mia unamchagua mmoja wa katikati unakuwa unaogea unamtazama yeye kama vile yupo peke yake kumbe wapo weng ndo maana yang
Ahaaa nzuri sana hii 😊
 
Hawa ni wale kama ana picha zako za utupu anavujisha 😂😂

Who cares?
Watu wataongea kwa siku mbili siku ya 3 maisha yanasonga hakuna haja ya kua mdogo kwa mkutadha huo

Labda kama wadau walivyosema
Kua mdogo kwa nia ya kuongeza maarifa na kujifunza si vingenevyo

Wengine wanapeleka uongo ili file lifunguliwe TEETH wakuchafue baada ya kupata oda ya DGIS
 
Ikifikia hatua hiyo kumbuka hivi
Hakuna nyakati zinadumu hivyo tu yani
Kama huwezi kuzuia wala kufanya chochote kubali umia pona ishii
 
Hii mimba ya visasi kwa wasiohusika na maumivu yako ikikomaa sana inazaa chuki hasa akigundua kila anachokifanya kukuny'ongonyeza hakizai matunda

Mtu huyu anatakiwa canceling
Hilo ni tatizo

Yes! Solution ni hiyo tuu counseling.

Lakini je! Mtu huyo atakubali kwamba anatatizo ili apate hiyo counseling? Hapa ndio changamoto kubwa ilipo.

I have my own bro anahilo tatizo, aisee! Everything to him is argument. Kila kitu yeye atakijudge kwa namna anayojua yeye ili akufanye ujione mkosaji na huna hadhi/thamani Sasa binafsi nilishamuelewa na naishi nae kwa namna yangu ila Sasa Huwa napenda wanavyoishi na mdogo ake Gen Z. Kwakweli Huwa nafurahi tuu majibu anayopewa mpaka anaamua kukaa kimya😂😂.

Nafikiri maada za namna hii zikiwa nyingi tutagusa tabia nyingi na wenye hizi tabia watafikiwa labda kwa njia hii watafumbuka mioyoni mwao watabadilika. Na hili ndio hunifanya nisiache kuchangia kwenye maada yoyote fikirishi.

Asante ShesRise_1 endelea kuleta maada fikirishi.

My Appreciation for you.
 
Back
Top Bottom