Usikubali kufanywa mdogo na yeyote

Usikubali kufanywa mdogo na yeyote

Kweli damu nzito sana,

But I want him to grow fast, hii akili ya kigen Z imtoke. I see the BEAST inside him (He's best in management) ila sasa nahitaji kusoma risala kitu ambacho sikiwezi.

Tutachelewa kufika endapo tutakua taratibu hivi, He need new challenge. Mtu anayeweza kumhush na kumrush afu ashindwe kumjibu bali kufanya kile anatakiwa kufanya.
Ahoo sasa huyo mtu atapatikana vipi sasa mkuu?
 
Yes basi mshawishi akijiunga huku atapata faida sana

Mimi angekuwa wa kike sawa ila vile ni wakiume siwezi

Unaemtaka yupo ila sasa, akili yake anaijua mwenyewe.

Huyu ndio mtu pekee ambaye ili nifanye maamuzi nahitaji kumsikiliza😂😂😂🙌. She is too young to be exposed here but she need mindset like yours.
 
Kwanini lazima umsikilize yeye na sio wengine na umesema ni mdogo
 
Good qn♥️💪💪👏👏👏

Mara nyingi anapofanya vitu vyake Huwa na sababu zake kwahiyo huwa napenda kujua sababu yake.

Pia mazingira yeye ni mtoto wakike pekeeake, hana wakujifunza kwake. Huwa napenda kujua msukumo unatokea wapi?

Lastly huwa namuona ni emotional intelligence kwahiyo kufanya maamuzi pasipo kushusha hisia zake ni kumkatili.

Lastly binafsi na prefer kujenga jamii bora na jamii bora inaanzia nyumbani, So am trying to build her too. Her experience is my experience to my future daughter's.
 
Wow hii nzuri sana unafanya vizuri kua kaka bora kwa mdogo wako wa kike
Na kwa jamii kwa ujumla
 
Back
Top Bottom