Usikubali kufanywa mdogo na yeyote

Usikubali kufanywa mdogo na yeyote

Methali 23:7 inasema: "Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo."

Pia imeandikwa katika Hesabu 13:33

"Kisha huko tuliwaona Wanefili, wana wa Anaki, waliotoka kwa hao Wanefili; tukajiona nafsi zetu kuwa kama mapanzi, nao ndivyo walivyotutazama."

Mtazamo na mawazo unayoyahifadhi moyoni mwako ndiyo yanayotengeneza uhalisia wa maisha yako na jinsi unavyojiweka mbele za watu au kukabiliana na changamoto.
Amen...
 
Mkuu kuna watu, wananiitaga dogo! njoo...

Indeed! Hua najiona great thinker! Japokuwa age ndio inanifanya nionekane little boy Ila ukubwa ni mindset!!!
 
Mkuu kuna watu, wananiitaga dogo! njoo...

Indeed! Hua najiona great thinker! Japokuwa age ndio inanifanya nionekane little boy Ila ukubwa ni mindset!!!
Una miaka mi ngapi ?
Hata mimi pia nakuchukulia kama dogo fulani hivi
 
Huyo sasa balehe inachangia
Mlete nimnyooshe 😅
Hapana namtetea kwa hilo ameshavuka salama , He's family genius sema shule ndio ilimuharibu.

Aliwahishwa kwenda shule, alafu shule za bweni akalelewa kama broiler so he knows much the things of been studying.

I would like him to accept new challenge.
 
Kweli damu nzito kuliko maji
Haya endelea kumjenga taratibu
Siku ataelewa tu
 
Kweli damu nzito kuliko maji
Haya endelea kumjenga taratibu
Siku ataelewa tu
Kweli damu nzito sana,

But I want him to grow fast, hii akili ya kigen Z imtoke. I see the BEAST inside him (He's best in management) ila sasa nahitaji kusoma risala kitu ambacho sikiwezi.

Tutachelewa kufika endapo tutakua taratibu hivi, He need new challenge. Mtu anayeweza kumhush na kumrush afu ashindwe kumjibu bali kufanya kile anatakiwa kufanya.
 
Back
Top Bottom