ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,652
- 43,750
- Thread starter
- #121
Nipe huyo mdogo wako nikae nae kwa one week 😅 akirudi atakua poa sanaYes! Solution ni hiyo tuu counseling.
Lakini je! Mtu huyo atakubali kwamba anatatizo ili apate hiyo counseling? Hapa ndio changamoto kubwa ilipo.
I have my own bro anahilo tatizo, aisee! Everything to him is argument. Kila kitu yeye atakijudge kwa namna anayojua yeye ili akufanye ujione mkosaji na huna hadhi/thamani Sasa binafsi nilishamuelewa na naishi nae kwa namna yangu ila Sasa Huwa napenda wanavyoishi na mdogo ake Gen Z. Kwakweli Huwa nafurahi tuu majibu anayopewa mpaka anaamua kukaa kimya😂😂.
Nafikiri maada za namna hii zikiwa nyingi tutagusa tabia nyingi na wenye hizi tabia watafikiwa labda kwa njia hii watafumbuka mioyoni mwao watabadilika. Na hili ndio hunifanya nisiache kuchangia kwenye maada
Shukran sana mkuu karibu tena 😊