Usikubali kufanywa mdogo na yeyote

Usikubali kufanywa mdogo na yeyote

Mkuu mi ni mhanga wa hii kitu nipo taasisi X wafanyakazi wenzangu wanatumia wepesi wangu kunipa kazi zao niwafanyie. Imefikia stage waifu ananichukia kwa ukimya wangu ananambia naburuzwa. Imefikia muda ananambia hata yeye atanidharau nikiendelea kuwa hivi. Lakini mimi siyo mnyonge kama wengi wanavyonichukulia bali napenda kubeba majukumu ya wengine nikiamini kuwa wote tunafanya kwa maslahi mapana ya taasisi. Je nipo sawa kweli
 
Mleta mada hii ina maana watu wasiwe wanyenyekevu au !
Hii comment nilikua sijaiona
La hasha mkuu
Unyenyekevu na kutokujikubali sio kitu kimoja
Hapa nazungumzia namna unaweza kuona thamani yako na ujue ukiona thamani yako kujiamini kutazaliwa hapo

So unyenyekevu ni swala lingine kabisa
 
Kujiona mdogo ukimaanisha nini? Kujiona dhaifu? Ni hali ya kawaida ya asili kujiona mdogo mara kadhaa. Na kuna wakati ni kweli unakua mdogo. Siyo vibaya kuukubali uhalisia. Cha msingi ni kujitahidi kuwa positive hata kipindi unapokuwa dhaifu kwasababu mbalimbali za kibinadamu.
 
Kwa dunia ya sasa, nadhani si mwanaume wala mwanamke asiyeweza kujua ni kitu gani anachohitaji
Nadhani kila mtu anajua thamani yake

Huwa nashangaa sana ninapoona mtu akitumia nguvu kubwa kumfanya mtu mwingine ajihisi au ajione mdogo

Na kisha huyo mtu anakubali kabisa na kuanza kujiona mdogo na kujishusha thamani

Mbinu hii ya kutaka kuwafanya wengine wajihisi wadogo hutumiwa na watu wadogo wanapotaka kuweka mizani sawa

Huna haja ya kukubali hizi mbinu zisizo na maana yeyote

Ni ukweli usiopingika kwamba duniani tupo katika viwango tofauti sana
Kuna watu walio kwenye high level, kuna walio kwenye low level, na kuna walio kwenye average level

Lakini licha ya yote hayo, confidence inaweza kumbeba sana mtu

Yes hata ukiwa mtu wa kiwango cha chini kiasi gani
Ukiwa na confidence unaweza kufanya vingi na vitu postitive
Unaweza kuitwa kwenye interview, ukaweza kujieleza vizuri bila hofu na ukafaulu

Unaweza kuanzisha biashara ndogo na ukafanikiwa

Watu wanasema bila pesa huwezi kuwa na confidence
Mimi hilo sioni kuwa ni kweli, au kama kuna ukweli ndani yake, basi ni mdogo sana

Ukiwa na confidence, uwezekano wa kuzipata pesa unakuwa mkubwa pia

Watu waoga waoga huwa wanachukua muda mrefu sana kufikia malengo au wasifikie kabisa matamanio yao

Ujumbe wangu wa leo ni huu:
No matter what, huna haja ya kukubali kufanywa mdogo na yeyote

Hasa sisi wanawake, huna haja ya kujiona wa kawaida
Na hii si kiburi wala jeuri ni moja ya njia za kujiwekea kiwango na mipaka ambayo si kila mtu anaweza kuvuka

Mimi : ShesRise_1
hupendelea kusema:👇

Mimi si wa kawaida, ila wewe unaponitazama mimi na ukaniona wakawaida
wewe ndiyo wa kawaida sana kiasi kwamba huwezi kuona viwango vyangu.

Wewe mdau umewahi kujihisi mdogo?
Nini kili rudisha confidence yako?

ShesRise_1 🤚
A few moment " nahitaji mwanaume mwenye kunipenda mimi na watoto wangu tufanye maisha siku ziende"
 
Hii comment nilikua sijaiona
La hasha mkuu
Unyenyekevu na kutokujikubali sio kitu kimoja
Hapa nazungumzia namna unaweza kuona thamani yako na ujue ukiona thamani yako kujiamini kutazaliwa hapo

So unyenyekevu ni swala lingine kabisa
Wengi hawajui kulitumia hilo neno unyenyekevu badala yake wanawageuza wenzao watumwa
 
Mkuu mi ni mhanga wa hii kitu nipo taasisi X wafanyakazi wenzangu wanatumia wepesi wangu kunipa kazi zao niwafanyie. Imefikia stage waifu ananichukia kwa ukimya wangu ananambia naburuzwa. Imefikia muda ananambia hata yeye atanidharau nikiendelea kuwa hivi. Lakini mimi siyo mnyonge kama wengi wanavyonichukulia bali napenda kubeba majukumu ya wengine nikiamini kuwa wote tunafanya kwa maslahi mapana ya taasisi. Je nipo sawa kweli
Siwezi kusema upo sahihi
Au haupo sahihi
Lakini ujue too much is harmful
Some time wache wafanye wenyewe

Moja wapo ya madhara ni kama hivyo wife anasema maneno ya kejeli
Ningependa kujua mkeo amejuaje yote hayo hua unamhadithia ?
 
Kwa dunia ya sasa, nadhani si mwanaume wala mwanamke asiyeweza kujua ni kitu gani anachohitaji
Nadhani kila mtu anajua thamani yake

Huwa nashangaa sana ninapoona mtu akitumia nguvu kubwa kumfanya mtu mwingine ajihisi au ajione mdogo

Na kisha huyo mtu anakubali kabisa na kuanza kujiona mdogo na kujishusha thamani

Mbinu hii ya kutaka kuwafanya wengine wajihisi wadogo hutumiwa na watu wadogo wanapotaka kuweka mizani sawa

Huna haja ya kukubali hizi mbinu zisizo na maana yeyote

Ni ukweli usiopingika kwamba duniani tupo katika viwango tofauti sana
Kuna watu walio kwenye high level, kuna walio kwenye low level, na kuna walio kwenye average level

Lakini licha ya yote hayo, confidence inaweza kumbeba sana mtu

Yes hata ukiwa mtu wa kiwango cha chini kiasi gani
Ukiwa na confidence unaweza kufanya vingi na vitu postitive
Unaweza kuitwa kwenye interview, ukaweza kujieleza vizuri bila hofu na ukafaulu

Unaweza kuanzisha biashara ndogo na ukafanikiwa

Watu wanasema bila pesa huwezi kuwa na confidence
Mimi hilo sioni kuwa ni kweli, au kama kuna ukweli ndani yake, basi ni mdogo sana

Ukiwa na confidence, uwezekano wa kuzipata pesa unakuwa mkubwa pia

Watu waoga waoga huwa wanachukua muda mrefu sana kufikia malengo au wasifikie kabisa matamanio yao

Ujumbe wangu wa leo ni huu:
No matter what, huna haja ya kukubali kufanywa mdogo na yeyote

Hasa sisi wanawake, huna haja ya kujiona wa kawaida
Na hii si kiburi wala jeuri ni moja ya njia za kujiwekea kiwango na mipaka ambayo si kila mtu anaweza kuvuka

Mimi : ShesRise_1
hupendelea kusema:👇

Mimi si wa kawaida, ila wewe unaponitazama mimi na ukaniona wakawaida
wewe ndiyo wa kawaida sana kiasi kwamba huwezi kuona viwango vyangu.

Wewe mdau umewahi kujihisi mdogo?
Nini kili rudisha confidence yako?

ShesRise_1 🤚
Yani mtu anayejua fizikia kuliko wewe anakwambia hapa juu sana huwezi kuruka ukabaki salama, halafu wewe ambaye hujui fizikia vizuri umbishie ukatae kujifunza ukweli kwa sababu hutaki kuwa mdogo?

Kuna sehemu unatakiwa kukubali kuwa mdogo, ujifunze.

Na kukataa kuwa mdogo kwa confidence tu hata kama hauko sawa, kunaweza kukuua.
 
Siwezi kusema upo sahihi
Au haupo sahihi
Lakini ujue too much is harmful
Some time wache wafanye wenyewe

Moja wapo ya madhara ni kama hivyo wife anasema maneno ya kejeli
Ningependa kujua mkeo amejuaje yote hayo hua unamhadithia ?
Huwa namhadithia pia anauza vitafunwa maeneo ya kazi
 
A few moment " nahitaji mwanaume mwenye kunipenda mimi na watoto wangu tufanye maisha siku ziende"
Hii haiwezi kutokea
Ukibaki baki huwezi
Unaweza kwenda simple tu kama hivyo
 
Yani mtu anayejua fizikia kuliko wewe anakwambia hapa juu sana huwezi kuruka ukabaki salama, halafu wewe ambaye hujui fizikia vizuri umbishie ukatae kujifunza ukweli kwa sababu hutaki kuwa mdogo?

Kuna sehemu unatakiwa kukubali kuwa mdogo, ujifunze.

Na kukataa kuwa mdogo kwa confidence tu hata kama hauko sawa, kunaweza kukuua.
Kaka asante na karibu

Sijasema mtu asijifunze au asikubali kuelekezwa
Mimi na hata wengine nadhani wapo tayari kujifunza

Ila nachozungumzia ni ile hali mtu ya kutaka kukufanya
Ujione wewe sio lolote
Maada yangu ipo kwa mkutadha huo

Ex: mtu anakuambia wewe huna lolote na huwezi kufanya chochote
Mtu akiyachukulia hayo maneno kwa uzito anaweza kujiona duni na asieweza hata kama anaweza kufanya hicho kitu.
 
Kaka asante na karibu

Sijasema mtu asijifunze au asikubali kuelekezwa
Mimi na hata wengine nadhani wapo tayari kujifunza

Ila nachozungumzia ni ile hali mtu ya kutaka kukufanya
Ujione wewe sio lolote
Maada yangu ipo kwa mkutadha huo
Kuna sehemu unaenda kumsikiliza mtu anajua quantum physics kwa kiwango ambacho wewe unatakiwa kujiona si lolote.

Hilo halimaanishi wewe si lolote.

Hilo linamaanisha wewe si lolote kwenye fani hiyo.

Na labda kuelewa kuwa wewe si lolote katika fani hiyo ndiyo chachu ya kukufanya ujifunze zaidi.
 
Mkuu mi ni mhanga wa hii kitu nipo taasisi X wafanyakazi wenzangu wanatumia wepesi wangu kunipa kazi zao niwafanyie. Imefikia stage waifu ananichukia kwa ukimya wangu ananambia naburuzwa. Imefikia muda ananambia hata yeye atanidharau nikiendelea kuwa hivi. Lakini mimi siyo mnyonge kama wengi wanavyonichukulia bali napenda kubeba majukumu ya wengine nikiamini kuwa wote tunafanya kwa maslahi mapana ya taasisi. Je nipo sawa kweli

Hauko sawa hata kidogo. Hao hao unaowasaidia ndani kabisa ya nafsi zao, wanakudharau. Nilikua hivyo zamani na nikifikiri ni fahari kumbe najiumiza mwenyewe.
 
Back
Top Bottom