Usikubali kufanywa mdogo na yeyote

Usikubali kufanywa mdogo na yeyote

Methali 23:7 inasema: "Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo."

Pia imeandikwa katika Hesabu 13:33

"Kisha huko tuliwaona Wanefili, wana wa Anaki, waliotoka kwa hao Wanefili; tukajiona nafsi zetu kuwa kama mapanzi, nao ndivyo walivyotutazama."

Mtazamo na mawazo unayoyahifadhi moyoni mwako ndiyo yanayotengeneza uhalisia wa maisha yako na jinsi unavyojiweka mbele za watu au kukabiliana na changamoto.
Sahihi mtumishi wa Bwana 🤝
 
Ongezea neno kama lipo
Luka 6:45 – "Mtu mwema hutoka katika hazina nzuri ya moyo wake mambo mema; mtu mwovu hutoka katika hazina mbaya mambo mabaya."
Nafikiri hii ina uhusiano wa moja kwa moja na mada.
 
Luka 6:45 – "Mtu mwema hutoka katika hazina nzuri ya moyo wake mambo mema; mtu mwovu hutoka katika hazina mbaya mambo mabaya."
Nafikiri hii ina uhusiano wa moja kwa moja na mada.
Asante mkuu naona leo tupo na roho wa bwana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom