Usiamini chozi la Mwanamke kamwe. Fanya maamuzi kwa akili yako

Kheeee!! Hivi kumbe kuna wanawake bado wanaliaga kutafuta attention ya kusamehewa kwa kweli kama wapo wanatakiwa wauliwe walah.. sasa hvi ni show show tutalilia baba zetu only
Kwa akili yako hiyo hutakaa uweze kuishi na mwanaume maisha yako yote. Bali utakua unapekewa moto tuu mpaka utakapo zeeka
 
Hamtuwezi nyie.
Jana tu nimetoka kutishia kunywa sumu nikasamehewa. Na leo kila saa napigiwa simu kuhakikisha nakuwa sawa nisije nikanywa sumu.
Kuna mwenzako anaandaliwa, akikaa fresh wewe unatupwa mbali sana... hakika ya weke kichwani maneno haya
 
Kwa akili yako hiyo hutakaa uweze kuishi na mwanaume maisha yako yote. Bali utakua unapekewa moto tuu mpaka utakapo zeeka

Kheee kwan huyu ninae ishi nae ni mwanamke bloo ni mwanaume kama wewe ila hana makelele yeye ana pesa...period
 
Hivi kuna mwanaume ana kaza mwanamke akilia yaani hatoi msamaha
Tupo, tena sio wachache. Na hatuna bifu tukimaliza ndio tumemaliza hivyo, tunakuchukulia kama mtu tunaejuna au rafiki wakawaida lakini ukurasa uleee ndio ushafungwa milele!!.
 
Hivi kuna mwanaume ana kaza mwanamke akilia yaani hatoi msamaha
Tupo, tena sio wachache. Na hatuna bifu tukimaliza ndio tumemaliza hivyo, tunakuchukulia kama mtu tunaejuana au rafiki wakawaida lakini ukurasa uleee ndio ushafungwa milele!!.
 
Kama umemkamata mwanamke wako ana mapichapicha akaanza kutoa chozi na kulia isiwe kigezo cha kusamehe.

Mwanamke hata akitoa machozi jaba zima ni namna yao ya kuku"fool mwanaume umuonee huruma kwa utopolo wake.

"Oooh nilimkamata na nanii akaanza kulia sana ikabidi nimsamehe" ukaanza kusema " Unajua nini itakuwa demu ananipenda sana"

Hapo umeumia mkuu. Kabla ya kusamehe hakikisha umejihidhirisha na ukaamua mwenyewe sio machozi yake.

Thanks me later

maamuz ya kiume
 
Hamtuwezi nyie.
Jana tu nimetoka kutishia kunywa sumu nikasamehewa. Na leo kila saa napigiwa simu kuhakikisha nakuwa sawa nisije nikanywa sumu.
Binafsi ningekununulia sumu unywe tu useme unataka DTT au sumu ya panya..
Sina jambo dogo abadani
 
Kwasababu chozi la mwanamke unalopaswa kuliamini nila wakati anajifungua tu, hayo mengine yote weka kaaapuni, wakati ule anakuwa anamaanisha kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom