Usiamini chozi la Mwanamke kamwe. Fanya maamuzi kwa akili yako

Kama umemkamata mwanamke wako ana mapichapicha akaanza kutoa chozi na kulia isiwe kigezo cha kusamehe.

Mwanamke hata akitoa machozi jaba zima ni namna yao ya kuku"fool mwanaume umuonee huruma kwa utopolo wake.

"Oooh nilimkamata na nanii akaanza kulia sana ikabidi nimsamehe" ukaanza kusema " Unajua nini itakuwa demu ananipenda sana"

Hapo umeumia mkuu. Kabla ya kusamehe hakikisha umejihidhirisha na ukaamua mwenyewe sio machozi yake.

Thanks me later
Mkubwa umesema vyema sana. Huwa unamwambia lia ukimaliza tunaanza upya. Wajinga sana na vimachozi vyao
 
..........wengi wanaohamasisha watu wafuate njia fulan mara nying wao s wafuataj wa njia hyo, n vyema kufanya unaloona sahihi kwa wakat sahihi.

Maana huwez jua mtoa mada kaandka hii mada akiwa kwny hali gani, sasa bas n vyema kujifunza lkn kutekeleza inategemea na mtu binafsi.
 
Wanalia kwa sababu hawana plan b na unakuta ni tegemezi kwa mwanaume ndo mana analialia kutana na wanawake wa shoka ndo utajua hujui analiliwa mwenye pesa tu akijua hapa kuna maslahi apart from that uuh no no no not today..
🤔🤔 Kwa nliowaona wengi hawawalilii hao wenye pesa mkuu, wanaliliwa wale wanaowapenda haijalishi wana pesa au hawana.

Tena hao unaowaita wanawake wa shoka wanavililia vimarioo vyao, anahongwa na jibaba fulani au anasaka doh zake mwisho wa siku anakuja tumia na kakijana, kakimzingua michozi mpaka kiunoni.
 
Kwa mke wa ndoa inakuwa ngumu sana jombo. Uamuzi wa kuoa uangaliwe kwa makini sana kwani baada ya hapo ukikosea hilo linakuwa lako.
Kwa kweli mkuu , Kwa ndoa inakuwa mtiani . Ila muhimu sana kuomba Mungu upate mke bora.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom