Usiamini chozi la Mwanamke kamwe. Fanya maamuzi kwa akili yako

NguoYaSikuKuu

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
595
710
Kama umemkamata mwanamke wako ana mapichapicha akaanza kutoa chozi na kulia isiwe kigezo cha kusamehe.

Mwanamke hata akitoa machozi jaba zima ni namna yao ya kuku"fool mwanaume umuonee huruma kwa utopolo wake.

"Oooh nilimkamata na nanii akaanza kulia sana ikabidi nimsamehe" ukaanza kusema " Unajua nini itakuwa demu ananipenda sana"

Hapo umeumia mkuu. Kabla ya kusamehe hakikisha umejihidhirisha na ukaamua mwenyewe sio machozi yake.

Thanks me later
 
Kama umemkamata mwanamke wako ana mapichapicha akaanza kutoa chozi na kulia isiwe kigezo cha kusamehe. Mwanamke hata akitoa machozi jaba zima ni namna yao ya kuku"fool mwanaume umuonee huruma kwa utopolo wake.

"Oooh nilimkamata na nanii akaanza kulia sana ikabidi nimshamehe" ukaanza kusema " Unajua nini itakuwa demu ananipenda sana"

Thank me later
Hizo ni take away.. Ukishatumia unatupa
 
Kama umemkamata mwanamke wako ana mapichapicha akaanza kutoa chozi na kulia isiwe kigezo cha kusamehe. Mwanamke hata akitoa machozi jaba zima ni namna yao ya kuku"fool mwanaume umuonee huruma kwa utopolo wake.

"Oooh nilimkamata na nanii akaanza kulia sana ikabidi nimshamehe" ukaanza kusema " Unajua nini itakuwa demu ananipenda sana"

Hapo umeumia mkuu. Kabla ya kusamehe hakikisha umejihidhirisha na ukaamua mwenyewe sio machozi yake.

Thanks me later
sawa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom