Usiamini chozi la Mwanamke kamwe. Fanya maamuzi kwa akili yako

Hehehehehe kumbe imepenyaaa tafuta hela blooo tunawalilia wenye pesa tu period sasa njoo kaa huku uone cha moto utapigwa matukio maji utaita mma tafuta ela acha kelele
Wape hi hapo kidimbwi.

Mwanamke kama ww ni ndoo ya uchafu utakojolewa mpaka puani.
 
Ni suala la muda tu...huna muda mrefu kweny hayo mahusiano
Ni kweli, maana mi alitishia nikampoza baadae mawazo yakaja huyu anataka kujiua means hana future na maisha ya wanetu maana kama wapo wanaokutegemea huwez waza kujiua
 
Yan mwenzio kiliooo tu cha voice note ananiamini, sembuse cha live live michozi buji bujiiiiii....

Hujakutana na mimi....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom