gollocko
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 2,945
- 2,281
- Thread starter
- #101
Kuna maelezo haya mafupi hebu anza nayo
Kuna namna nyingi ya kuweza ku empty mind. Jambo muhimu kabisa ni kujua ni vitu gani vinavyo saidia.
Aina ya kwanza.
Unaweza ukaanza kwa kufanya mazoezi ya mwili. Kudance, kukimbia, kurukaruka nk
Na baada ya hapo unaweza ukakaa au kujilaza kwenye kitanda na kuanza kujitamkia jambo zuri kwa kurudia rudia mf: I am intellient kwa sauti ya ndani huku umefumba macho. Hii itasaidia kuanza kuwa na postive thoughts.
Au unaweza kujilaza na kutoa pumzi. Yani unavuta kwa mda mrefu na kutoakwa mda mfupi. Vile vile unavaa nguo zisizo za kubana.
Aina ya pili.
Unaweza ukatafuta music wenye binaural beats wenye stereo head phone tofauti ya freequecy ya sikio moja na lingine iwe kuanzia 7 - 40htz. Tafuta online utapata unaweza kudownload.
Ukiwa sehemu yeyote, kazini, unaendesha gari, beach, ukonyumbani nk.
Inapendeza sana ukiwa upo sehemu tulivu na huku umefumba macho na umeweka mziki huo itasaidia sana kuweza kuchange mind. Hii inatokana na kwamba masikio ya mwanadamu hayana uwezo wa kusikia frequency 0-20htz na hizi frequency zinasaidia sana katika kuponya mind. Kwahiyo binaural beats frequcies mbili moja inapigwa kwenye sikio la kushoto na nyingine sikio la kulia. mfano 350htz na 360htz ubongo unashindwa kutafsiri aina ya frequency inayoingia kwahiyo inatengeneza frequency tofauti ambayo 360-350 ambayo ni 10htz ambayo haiwezi kusikiwa na masikio. Frequency hiyo ina ponya mind.
Aina ya Tatu
Kuwa na tabia ya kukaa kwenye sehemu ya utulivu na kuangalia nature. Unaweza ukakaa na kuangalia mawingu, mwezi, nyota, miti, ndege, bahari au ziwa, mkusanyiko wa watu nk.
Aina ya Nne
Concentration on some thing: unaweza ukacetrate na kitufulani. Mfano unaweza ukaangalia kitu flani na kuconcetrate au unaweza ukachagua sauti ya ndege flani na ukakocentrate. Rangi fulani ndani ya nyumba nk.
Kuna namna tofauti tofati hebu jaribu kuanza na hayo halafu utakuja unipe jibu baada ya mwezi mmoja.
Annael hii aina ya nne unaweza ielezea zaidi!