Ushuhuda wa ukweli kuhusu meditation

Ushuhuda wa ukweli kuhusu meditation

Annael, umeifanya hii kitu kwa mda gani?
Huwezi ukahesabu mda kwamba umefanya kwa mda gani maana inakuwa ni sehemu ya maisha yako. Na matokeao yanakuja siku baada ya siku. Ni vigumu kutaja mda kwa sababu ni process ambayo inahitaji uvumilivu sana. Nitofauti na elimu, kwa mfano kujifunza kuendesha gari nk.
Ni kitu ambacho kinaenda hatua kwa hatua. Mimi ninafikiri hatua ya kwanza kabisa ni "Emptying Mind" Hii ndio hatua muhimu sana na hii process ndio nguzo muhimu ya kwanza katika elimu hii ya meditation. Nitakuja na somo hilo la hatua kwa hatua namna ya "Empty Mind" (Sijui kwa kiswahili tunaweza kusemaje).
 
Karibu Annael utupe hilo darasa.
 
Karibu Annael utupe hilo darasa.
Nadhani watu wanaruka sehemu ya msingi kabisa ya Emptying Mind wanakimbilia kwenye Posture ambayo ni hatua nyingine kabisa. Huwezi ukaanza kujifunza namna ya posture kabla ya kuweza kuempty mind. Na ningeomba watu wanaoingiza imani zao hapa ni vyema wakaacha kufanya hivyo. Maana imani ni kizuizi kimoja wapo kanamna fulani.

Ukiaza ku-Empty mind automatic utaanza kuzalisha upendo ndani yako, baadaye peace of mind. Baada ya hapo ndio utaanza hatua ya kuzima thoughts and perceptions kwa sababu ndio kizingiti kikubwa sana. Mimi kwangu mimi naona hizi ndio hatua muhimu sana.

Pia ni vyema kwanza mtu akajua lengo la meditation na sio matokeo yake. Kwa sababu ukiwa unafanya meditation huku ukiwa na wazo la matokeo mwisho wa siku unazalisha imani ambayo itakaa kwenye thoughts na perceptions na kukuzuia kufikia lengo.
Ahsante ni hayo tu kwa leo. Subiri nitaandaa somo la hatua za emptying mind.
 
Ahsante ni hayo tu kwa leo. Subiri nitaandaa somo la hatua za emptying

Hebu kwanza kabla hujaja na somo la kuempty mind, naomba nifafanulie kidogo juu ya kuzima thoughts na perception.
 
Labda tu nianze kwa kusema hivi. Kuna milango 6 ya fahamu ambayo ni
1. Macho 2. Ulimi 3. Ngozi 4. Masikio 5. Pua 6. Thoughts(Kwa kiswahili sijui). Hii ni milango muhimu inayo tumika kuingiza elimu katika mind
Unaweza ukafumba macho ukawa huoni, Unaweza ukaziba masikio ukawa husikii na kadhalika. Lakini thoughts huwa zinatokea tu ndani kwa ndani hata ukiwa kwenye utulivu. Na moja ya chanzo cha hizo thought ni Imani. Unaweza kuwa umeaminishwa kitu fulani kwa hiyo ukiwa kwenye utulivu utajikuta hicho kitu kinaibuka ndani kwa ndani na kukufanya uanze kushughulika nacho badala ya kuendelea na safali yako ya utulivu.

Sasa unapoanza kujifunza namna ya Empying Mind automatically utaanza kufuta vitu negative vilivyo ndani ya mind na kufanya thought/Perception kuanza kupungua nguvu. Kadri unayozid kwenda mbele utaanza kuwa na uwezo wa kukontrol thought hatimaye kuzima kabisa na kuelekea sasa kwenye safari ya Meditation State.

Nadhani mpaka hapo umenipata kwa namna fulani. Unajua kuna watu wanataka kuifanya meditation kama dini fulani na kuanza kuwaogopesha watu. Ni pale tu utakapo anza step kwa step ni safari ya kwenda kwenye ulimwengu wa roho, ulimwengu wa juu, Uwezo wa juu wako wewe.

Wengine wanatisha watu kwamba utakutana na mapepo, majini nk. Hii ni kutishana tu. Na ukute mtu anayesema hivyo amejengwa katika misingi ya kidini na anaongozwa na perception tu.

Kama unaswali wewe niulize huenda tukaanzia somo hapa.
 
Vipi kuhusu lotus posture, ni lazima uitumie wa hizi hatua mbili za mwanzo ulizozielezea? Maana hapa nilipoanzia hii kitu, maelekezo ni kukaa kenye kiti au sehemu yoyote ilimradi tu unaweza ku inhale na exhale kwa uzuri.
 
Nadhani hujaisoma vizuri comment yangu kabla ya hii iliyo i quote. Nimesema hatua ya kwanza kabisa ni kuempty mind. Nikasema mambo ya posture ndiyo yanakuja baadaye. Ni kama unapomfundisha mtoto wa darasa la pili ukimpa swali la

3-6 jibu lake litakuwa haiwezekani lakini yule wa darasa la saba atasema jubu ni -3. Ndio hivyo kwamba lengo la kumfundisha mtoto wa darasa la pili ni tofauti na lengo la kumfundisha mtoto wa darasa la saba. Ndio hapo watu wanakosea. Unapoanza kumfundisha mtu mambo ya next step kabla ya step husika mtu lazima achanganyikiwe.
Mfano leo mtoto wa form four umwambie atafute square root ya -4 hatapata jibu lakini mtu wa form six anayesoma mathematics atakupa jiku kuwa ni 2i.

Ni hivyo hivyo katika mazingira ya kujifunza ni lazima kuenda kwa spet.

Isitoshe kuempty mind sio kukaa tu kwenye sehemu ya utulivu. kuna wakati unatumia physical movement. Kwa hiyo mimi ninavyoona somo la posture linaweza likawa la tatu. Na lile na emptying mind likawa la pili na lile la kwanda nadharia ya lengo la kufanya meditation.
Posture ni muhimu na haina sheria ni jinsi ya kukaa mwili wako ukiwa umetulia bila maumivu. Sasa tamaduni zingine wamezoea kuka wakiwa wamekunja miguu, itakuwa ngumu sana kwako kuanza kujifunza kukunja miguu na itakuwa inauma sana na kuanza kuconcetrate na maumivu. Ni vyema kuondoa sheria ngumu na mizigo migumu inayomfanya mwanafunzi achukue mda au akatetamaa na meditation. Na meditation si lazima ukunje miguu. Chukulia wewe ndugu tangu uzaliwe hujawahi kukaa kwa kukunja miguu sasa hivi una miaka 30 na uambiwe ukunje miguu. Zoezi la kukunja miguu tu linaweza likamaliza mwaka na maumivu makali unapata.

Ni vyema tukatofautisha tamaduni na meditation.
Naomba tuendelee kama unajambo leo nipo hapa jamvini.
 
Akhsante Annael! Kwa darasa lako hili nimeshajua nilikwamia wapi mpaka sasa. Ila naona meditation ni rahisi, tatizo lake inahitaji mda wa kutosha na umakini wa kuifuatilia na ndio sababu wengi wetu inakua vigumu kubadili mitazamo tuliokuzwa nayo, hasa ya kidini.
 
mkuu Annael hapo juu umesema watu wasiingize imani kwenye mambo haya, maana imani ni kizuizi kimojawapo kwa namna fulani. Tafadhali naomba uelezee kwa kina hapa ili pasiwe na mkanganyiko tena.
 
Last edited by a moderator:
mkuu Annael hapo juu umesema watu wasiingize imani kwenye mambo haya, maana imani ni kizuizi kimojawapo kwa namna fulani. Tafadhali naomba uelezee kwa kina hapa ili pasiwe na mkanganyiko tena.
Kwa upande mmoja kuwa na imani ni hatua moja wapo ya kuanza kuelekea kwenye meditation. Lakini kwa upande mwingine imani inaweza kuwa kizuizi kikubwa kwenye meditation.

Naomba niongee hapa na mtu akiwa na free mind.
Ikiwa: mkristo, muislamu, muhindu, budha nk kila mmoja amejengwa katika imani fulani. Unapo kuwa katika imani hiyo unakuwa unafundishwa eidha namna ya kusali au kuabudu. Unakuwa unasali au kuabudu kitu flani ambacho kiuhalisia unatakiwa ukijue. Unafundishwa jinsi ya kukaa katika utulivu ili uongee na yule unaye muabudu (Wengine wanasema roho mtakatifu, mungu, malaika nk). Unafundishwa kufanya matendo mazuri, zaidi sana unafundishwa upendo. Wengine wanasema karma na vitu vifananavyo na hivyo. Hivyo vyote unafundishwa ili kufanya thoughts zako zisiweze kukuhukumu wakati uko kwenye utulivu. Kwa hiyo imani ya namna flani ukiwa kwenye free mind inaweza ikakusaidia ukaanza kusogea kwa namna flani kuelekea ukweli.

Imani inakuwa na madhara pale tu inapomshurutisha mtu na kumfumba macho asiweze sasa kwenda zaidi ya hapo alipofikia. Inamuweke akae katika kundi la kishabiki tu bila ya kupiga hatua. Kwamba umeambiwa mungu yupo wakati hu huo maandiko au vitabu vinaubadilisha ukweli kuwa huwezi ukamuona mungu!!!? Vinashindwa kuwaeleza watu kuwa uungu ni state ya consciousness ya mtu. Kwahiyo zinakuwa zimembana mtu katika huta moja tu na kushindwa kumueleza kuwa lazime aende zaidi ya hapo. Mtu anakuwa amejijenga katika msingi wa vitisho kwamba kuna hukumu, kuna shetani nk. Kwahiyo mtu anakuwa amejengwa katika misingi ya uoga na anaogopa kweli kahiyo hawezi kusonga mbele kiroho.

Kuna maelezo mengi tu marefu ambayo yananifanya nisemekuwa dini zinapotosha watu katika ukweli nivyema ikafikia mahali tukasema ukweli.
Nitaendelea kuongea pale ambapo sijasema katika comment hii nikiulizwa swali.
 
Naomba msaada kwa anaeanza inabidi aanzeje??
Hyo emptying mind inakuaje??
Step by step please mana Kama hujawah unaeza usielewe kitu.
Kuna maelezo haya mafupi hebu anza nayo

Kuna namna nyingi ya kuweza ku empty mind. Jambo muhimu kabisa ni kujua ni vitu gani vinavyo saidia.
Aina ya kwanza.
Unaweza ukaanza kwa kufanya mazoezi ya mwili. Kudance, kukimbia, kurukaruka nk
Na baada ya hapo unaweza ukakaa au kujilaza kwenye kitanda na kuanza kujitamkia jambo zuri kwa kurudia rudia mf: I am intellient kwa sauti ya ndani huku umefumba macho. Hii itasaidia kuanza kuwa na postive thoughts.
Au unaweza kujilaza na kutoa pumzi. Yani unavuta kwa mda mrefu na kutoakwa mda mfupi. Vile vile unavaa nguo zisizo za kubana.

Aina ya pili.
Unaweza ukatafuta music wenye binaural beats wenye stereo head phone tofauti ya freequecy ya sikio moja na lingine iwe kuanzia 7 - 40htz. Tafuta online utapata unaweza kudownload.
Ukiwa sehemu yeyote, kazini, unaendesha gari, beach, ukonyumbani nk.
Inapendeza sana ukiwa upo sehemu tulivu na huku umefumba macho na umeweka mziki huo itasaidia sana kuweza kuchange mind. Hii inatokana na kwamba masikio ya mwanadamu hayana uwezo wa kusikia frequency 0-20htz na hizi frequency zinasaidia sana katika kuponya mind. Kwahiyo binaural beats frequcies mbili moja inapigwa kwenye sikio la kushoto na nyingine sikio la kulia. mfano 350htz na 360htz ubongo unashindwa kutafsiri aina ya frequency inayoingia kwahiyo inatengeneza frequency tofauti ambayo 360-350 ambayo ni 10htz ambayo haiwezi kusikiwa na masikio. Frequency hiyo ina ponya mind.

Aina ya Tatu
Kuwa na tabia ya kukaa kwenye sehemu ya utulivu na kuangalia nature. Unaweza ukakaa na kuangalia mawingu, mwezi, nyota, miti, ndege, bahari au ziwa, mkusanyiko wa watu nk.
Aina ya Nne
Concentration on some thing: unaweza ukacetrate na kitufulani. Mfano unaweza ukaangalia kitu flani na kuconcetrate au unaweza ukachagua sauti ya ndege flani na ukakocentrate. Rangi fulani ndani ya nyumba nk.

Kuna namna tofauti tofati hebu jaribu kuanza na hayo halafu utakuja unipe jibu baada ya mwezi mmoja.
 
ubatizoAnnaibada9437mazishiupanondoleoa kudhambiimani ni hatua moja wapo ya kuanza kuelekea kwenye meditation. Lakini kwa upande mwingine imani inaweza kuwa kizuizi kikubwa kwenye meditation.

Naomba niongee hapa na mtu akiwa na free mind.
Ikiwa: mkristo, muislamu, muhindu, budha nk kila mmoja amejengwa katika imani fulani. Unapo kuwa katika imani hiyo unakuwa unafundishwa eidha namna ya kusali au kuabudu. Unakuwa unasali au kuabudu kitu flani ambacho kiuhalisia unatakiwa ukijue. Unafundishwa jinsi ya kukaa katika utulivu ili uongee na yule unaye muabudu (Wengine wanasema roho mtakatifu, mungu, malaika nk). Unafundishwa kufanya matendo mazuri, zaidi sana unafundishwa upendo. Wengine wanasema karma na vitu vifananavyo na hivyo. Hivyo vyote unafundishwa ili kufanya thoughts zako zisiweze kukuhukumu wakati uko kwenye utulivu. Kwa hiyo imani ya namna flani ukiwa kwenye free mind inaweza ikakusaidia ukaanza kusogea kwa namna flani kuelekea ukweli.

Imani inakuwa na madhara pale tu inapomshurutisha mtu na kumfumba macho asiweze sasa kwenda zaidi ya hapo alipofikia. Inamuweke akae katika kundi la kishabiki tu bila ya kupiga hatua. Kwamba umeambiwa mungu yupo wakati hu huo maandiko au vitabu vinaubadilisha ukweli kuwa huwezi ukamuona mungu!!!? Vinashindwa kuwaeleza watu kuwa uungu ni state ya consciousness ya mtu. Kwahiyo zinakuwa zimembana mtu katika huta moja tu na kushindwa kumueleza kuwa lazime aende zaidi ya hapo. Mtu anakuwa amejijenga katika msingi wa vitisho kwamba kuna hukumu, kuna shetani nk. Kwahiyo mtu anakuwa amejengwa katika misingi ya uoga na anaogopa kweli kahiyo hawezi kusonga mbele kiroho.

Kuna maelezo mengi tu marefu ambayo yananifanya nisemekuwa dini zinapotosha watu katika ukweli nivyema ikafikia mahali tukasema ukweli.
Nitaendelea kuongea pale ambapo sijasema katika comment hii nikiulizwa swali.[/QUOTE]

Ni kweli Annael,Tatizo la dini zimetukaririsha tu mambo ya kidunia zaidi kuliko ya kiroho, mf. waumini wengi huwa wanasali ili kutimiza mambo ya kawaida kama kipaimara,ndoa,ubatizo na ibada za mazishi au ondoleo la dhambi. Vilevile vitabu vitakatifu huwa tunavisoma na kuvikariri tu na wala hatutafakali maandiko yake, hii inatufanya maisha yetu yoote kutokua na kitu cha ziada katika roho na kweli.
 
Kwa anae taka hizo binaural beats aingie tu google playstore zipo apps kibao zenye hizo vitu
 
Back
Top Bottom