Ushuhuda wa ukweli kuhusu meditation

Ushuhuda wa ukweli kuhusu meditation

Ndio ziko saba. Root, second, solar plexus, heart chakra, fore chakra na crown chakra. .Unaweza kugoogle. Chakra
 
Mfamaji, hizi chakra na energy unaweza ukazijua kabla ya kuanza meditation?

Hizo hapo 👉unaanza na root chakra na kuendelea kwa kupanda juu.
 
Attachments

  • 1441819265870.jpg
    1441819265870.jpg
    46 KB · Views: 352
Ndio ziko saba. Root, second, solar plexus, heart chakra, fore chakra na crown chakra. .Unaweza kugoogle. Chakra
 
Hizo hapo ��unaanza na root chakra na kuendelea kwa kupanda juu.

Hii niliisoma kabla kwenye mitandao, ila darasa nililoanzia hii meditation hawaizungumzii hii kitu kabisa wao huanza na pumzi na baadae hatua zingine zinafuata na sio lazima ukae hivyo kama unafanya kuziactivate hizo chakra. Kwa hapa naona kuna meditation za aina nyingi.
 
Kwa wanaoanza inashauriwa kwanza huu mkao wa yoga uujifunze maana na ukishauzoea ndio utaweza kumaditate hata kwa lisaa limoja na kuendelea.
Ndio maana huu mchoro wa yoga ndio unaoonekana umewekewa hivi vituo vya kiroho/chakra s. Nadhani kwa hapa jamiiforums ukimpata ndugu Apollo utafurahia uwepo wako hapa jf.
 
Last edited by a moderator:

Mwanzoni nilidhani ni simple, ila sasa naona kuna zaidi ya nilivyodhani na nnavyofanya. Akhsante arestasludovick, kama unanondo zaidi endelea kiziteremsha kaka.
 
Last edited by a moderator:
Kwa wanaoanza inashauriwa kwanza huu mkao wa yoga uujifunze maana na ukishauzoea ndio utaweza kumaditate hata kwa lisaa limoja na kuendelea.
Ndio maana huu mchoro wa yoga ndio unaoonekana umewekewa hivi vituo vya kiroho/chakra s. Nadhani kwa hapa jamiiforums ukimpata ndugu Apollo utafurahia uwepo wako hapa jf.

Lotus posture si mchezo...
 
Last edited by a moderator:
Prince, heshima kwako. Kwa maelezo yako yaonesha ni kweli unaifanya hii kitu na uko constructive licha ya kuifanya hii kitu. Ila nieleweshe vipi ukiwa umebanwa na ukakosa mda wa kumeditate huwa inapunguza uwezo uliofikia awali?

kaka ukisha izoea hai kupi shida maana tayari ufahamu wako umesha jenga ihi tabia.

Ni kitu nzuri sana inafaida nyingi mno. Maana ina zaa hekima. Na maarifa. Hizi tabia ni lazima zitakuwa na wewe kaka.
 
Kuizoea nimeshaizoea ila nahitaji kuiboresha zaidi na hasa kutokana na uzoefu wa watu wengine.
 
Inahitaji uwe umeielewa vizuri, pengine uwatafute watu wakufundishe ana kwa ana,sio kusoma humu
 
Back
Top Bottom