Ushuhuda wa ukweli kuhusu meditation

Ushuhuda wa ukweli kuhusu meditation

Mkuu mafanikio yaliyopo kwenye meditation sio utajiri; ila ni wewe kuweza kuutuliza akili yako (mind) kumbuka kila kitu kinaanza kama wazo na wazo huzaa kitendo. so faida ni kwamba utakuwa na uwezo wa kuwaza vema, na ukiwaza vema utatenda vema pia. kingine mawazo ni energy (nguvu) ukiweza kuyaweka mawazo yako katika nguvu chanya ndio mwanzo wa vitu chanya vingi katika maisha yetu. "AS you think so shall you be"kuna faida nyiiingi sana

Tatizo la wengi wanadhani mafanikio nnayolenga ni utajiri, hapana. Lengo langu ni kufahamu zile personal changes ambazo watu wameziona baada ya kuanza kuifanya hii meditation. Ila akhsante Gamaha maelezo yako yameniongezea ufahamu.
 
kaka naomba ni kusaidie nini maana ya meditation.

Kwa kiswaili ni (kutafakari)

inafaida kubwa sana kama utazingatia siku zote. Faida yake ipo hata kwenye mambo ya kiroho. Ukitaka uwe mtu mwenye ufahamu mkubwa juu ya mambo ya Mungu. Basi meditation mambo ya Mungu na maneno yake.alafu uyatende yale unayo yasoma. Utakuwa na uwepo wa Mungu siku zote.

Tuje kwenye eneo la maisha ya kila siku Meditation ni msingi wa mwanzo wa mafanikio yako.

Huwezi kufanikiwa kama wewe si mtu wa kutafakari yaani (meditation)

hapa ndipo wazungu wanapotushinda siku zote. Cm unayoitumia wazo la kutengeneza cm lilitokana na meditation.

Matajiri wote unaowajua mwanzo wa mafanikio yao au wazo la biashara au makampuni wanayo ya miliki. Yalizaliwa kutokana meditation.

Mimi labda ni kupe mbinu ambazo mimi nazitumiaga na zimekua na faida nyingi sana katika maisha yangu ya kibiashara.

1 kumcha Mungu.
2 maisha ya maombi.
3 kutenga muda usiopungua saa 1 kila siku kutafakari.

Naomba ni zungumze eneo la 3 yaani tafakuri.

Tafuta sehemu ya utulivu isiyo na makelele. Jizoeshe kila siku kukaa hapo peke yako. Kwa muda usiopungua masaa2.

Haza kutafakari shida za watu. Na jinsi utakavyozitatua. Zama kwa undani juu ya mambo ambayo hayapo na fursa zilizo kuzunguka.

Anza hapo mtaani kwenu unapo kaa. Yatafakari mazingira na ni nini unachokiona hapo mtaani kama kero.

Anza kubuni miradi. Chukua kalamu na karatasi. Andika kila wazo. Linalo kujia. Au fursa unazoziona hapo ulipo.

Hesabu gharama. Itakugharimu mtaji wa kiasi gani. Utapata faida kiasi gani. Chemsha. Akili yako ifanye izunguke itafute majawabu.

Ukisha maliza. Sasa rudi kwa Mungu hapa na zungumzia. Maombi mwombe Mungu. Akuongoze. Akupe hekima. Na Nguvu ya kuyatenda yote uliyoyapanga.

Na kuhakikishia maisha yako hayatakua kama yalivyo kuwa sasa. Lazima utajiri ukujie ndugu yangu.

Asante kwa kunisikiliza:
 
kaka naomba ni kusaidie nini maana ya meditation.

Kwa kiswaili ni (kutafakari)

inafaida kubwa sana kama utazingatia siku zote. Faida yake ipo hata kwenye mambo ya kiroho. Ukitaka uwe mtu mwenye ufahamu mkubwa juu ya mambo ya Mungu. Basi meditation mambo ya Mungu na maneno yake.alafu uyatende yale unayo yasoma. Utakuwa na uwepo wa Mungu siku zote.

Tuje kwenye eneo la maisha ya kila siku Meditation ni msingi wa mwanzo wa mafanikio yako.

Huwezi kufanikiwa kama wewe si mtu wa kutafakari yaani (meditation)

hapa ndipo wazungu wanapotushinda siku zote. Cm unayoitumia wazo la kutengeneza cm lilitokana na meditation.

Matajiri wote unaowajua mwanzo wa mafanikio yao au wazo la biashara au makampuni wanayo ya miliki. Yalizaliwa kutokana meditation.

Mimi labda ni kupe mbinu ambazo mimi nazitumiaga na zimekua na faida nyingi sana katika maisha yangu ya kibiashara.

1 kumcha Mungu.
2 maisha ya maombi.
3 kutenga muda usiopungua saa 1 kila siku kutafakari.

Naomba ni zungumze eneo la 3 yaani tafakuri.

Tafuta sehemu ya utulivu isiyo na makelele. Jizoeshe kila siku kukaa hapo peke yako. Kwa muda usiopungua masaa2.

Haza kutafakari shida za watu. Na jinsi utakavyozitatua. Sana kwa undani juu ya mambo ambayo hayapo na fursa zilizo kuzunguka.

Anza hapo mtaani kwenu unapo kaa. Yatafakari mazingira na ni nini unachokiona hapo mtaani kama kero.

Anza kubuni miradi. Chukua kalamu na karatasi. Andika kila wazo. Linalo kujia. Au fursa unazoziona hapo ulipo.

Hesabu gharama. Itakugharimu mtaji wa kiasi gani. Utapata faida kiasi gani. Chemsha. Akili yako ifanye izunguke itafute majawabu.

Ukisha maliza. Sasa rudi kwa Mungu hapa na zungumzia. Maombi mwombe Mungu. Akuongoze. Akupe hekima. Na Nguvu ya kuyatenda yote uliyoyapanga.

Na kuhakikishia maisha yako hayatakua kama yalivyo kuwa sasa. Lazima utajiri ukujie ndugu yangu.

Asante kwa kunisikiliza:

Prince! Maelezo yako ndio majibu niliyokuwa nayalenga. Nashukuru kwa darasa ulilonipa natumai na wengine watashuhudia ya kwao hii inatia moyo. Ila hebu nipe vikwazo ulivyokumbana nvyo mpaka unafikia hatua hiyo, maana naona kumaditate kwa saa 2 kila siku yataka moyo
 
nashukuru points zangu zimechambuliwa vizuri sana na walionifuata, kosa lako umejikita sana kwenye matokeo (utomaso)
 
soma vitabu vya med atleast vi4 ili

1.uzifahamu universal laws na zinavyofanya kazi.

2. zitawale fikra zako +ve & -ve
 
Ndg Narubongo we ndio sikuelewi kabisa, umejikita kwenye kukandia huku ukitoa ufafanuzi wenye mafumbo. Nadhani we utakuwa ni lecturer maana wengi hizi ndio tabia zao. Hata hivyo nashukuru kwa maelekezo yako ntazifanyia kazi
 
Mkuu ndio nataka unishuhudie hizo solution mbalimbali ulizozipata kutokana na hizi meditation.

Kwanza Maditation inakutaka uweke dini yako pembeni, ukubali kutafuta ukweli ndani yako.
Alafu uwe na mawazo, maneno, na matendo mema. Mawazo mema na matendo mema ni pamoja na kutokumdunisha mtu au wewe kujidunisha. Kumbuka sisi sote ni ndugu/asili yetu ni moja. Hakuna mkuu na ambae sio mkuu, hakuna mheshimiwa na ambae sio mheshimiwa. Hivyo unapotumia neno MKUU unaonesha ni jinsi gani bado hujajijua wewe ni nani. Ndugu gollocko ukiweka nia kweli na sio kujaribu utaona mabadiliko.
 
Last edited by a moderator:

Arestasludovick unauhakika na ulichokiandika lakini?
 
Last edited by a moderator:
Nina uhakika ndio

Ok, unawezafafanua dini, inakuwekaje mbali na ukweli! Na pili hili neno mkuu hutumiwa sana hawa wataalam wa hii meditation humu jamvini, iweje nikilitumia mimi iwe ndo kutojitambua?
 
Kwanza Maditation inakutaka uweke dini yako pembeni, ukubali kutafuta ukweli ndani yako.
Alafu uwe na mawazo, maneno, na matendo mema. Mawazo mema na matendo mema ni pamoja na kutokumdunisha mtu au wewe kujidunisha. Kumbuka sisi sote ni ndugu/asili yetu ni moja. Hakuna mkuu na ambae sio mkuu, hakuna mheshimiwa na ambae sio mheshimiwa. Hivyo unapotumia neno MKUU unaonesha ni jinsi gani bado hujajijua wewe ni nani. Ndugu gollocko ukiweka nia kweli na sio kujaribu utaona mabadiliko.

Hii sio sahihi. Unaweza kutumia techniques za meditation kukuza imani ya dini yako. Hata dini nyingine wana meditate, sema wanaweza kuiita jina lingine lakini ni kitu hicho hicho
 
Last edited by a moderator:
Faida ambayo mimi naweza kusema hapa ni. Kujitambua, Kujua dunia ni kitu gani.
Ukifanya meditation utapa Knowledge baadae Wisdom.
 
Ok, unawezafafanua dini, inakuwekaje mbali na ukweli! Na pili hili neno mkuu hutumiwa sana hawa wataalam wa hii meditation humu jamvini, iweje nikilitumia mimi iwe ndo kutojitambua?

Inatubidi tuweke dini zetu pembeni kwa sababu zimefunga ukweli usijulikane kwa kuuwekea limit kwa kuonyesha sisi tuliobaki hatuwezi na kuwafanya wale wazamani waliojitambua kama miungu jambo ambalo sio.
Hapa namaanisha kwamba ukweli haupo ndani ya wakristo tu au wahindu tu au wabudha tu au waislam tu. Ukweli unaendelea kufunuliwa mpaka sasa.
Kuhusu kutumia neno mkuu tafakari mwenyewe utakuta sio sawa.
 
Haya kaka, heshima kwako!
 
Faida ambayo mimi naweza kusema hapa ni. Kujitambua, Kujua dunia ni kitu gani.
Ukifanya meditation utapa Knowledge baadae Wisdom.

Annael, umeifanya hii kitu kwa mda gani?
 
Prince! Maelezo yako ndio majibu niliyokuwa nayalenga. Nashukuru kwa darasa ulilonipa natumai na wengine watashuhudia ya kwao hii inatia moyo. Ila hebu nipe vikwazo ulivyokumbana nvyo mpaka unafikia hatua hiyo, maana naona kumaditate kwa saa 2 kila siku yataka moyo

kaka ni kweli kabisa kumeditate sio jambo rahisi kama wengine wanavyofikiri.

Mimi ilinigharimu 1 kuyalazimisha mawazo yangu ya kubaliane na kile ninacho kikusudia.

Haikua kazi raisi kaka wala halikua jambo la siku 1. Ilinichukua muda mrefu mpaka kuanza kuzoea hiyo hali.

Labda ni kupe mbinu iliyo ni saidia kwa uraisi.

Mimi ni mkristo.
Na ninapenda sana kutumia muda mwingi kufanya ibada na Mungu wangu.

Napenda sana kusoma neno la Mungu. Na kutafakari Neno la Mungu. Ihi ilinisaidia sana kwanza kuflash mawazo yote yasiyo na utukufu wa Mungu juu ya maisha yangu.

Hapa ndipo ili kua mwanzo wa kuanzia. Na neno lililo ni shep ni (Yoshua 1:8 na Zaburi 1:1-3)

Neno linasema:
- KITABU HIKI CHA TORATI KISIONDOKE KINYWANI MWAKO, BALI YATAFAKARI MANENO YAKE MCHANA NA USIKU, UPATE KUANGALIA KUTENDA SAWA SAWA NA MANENO YOTE YALIYO ANDIKWA HUMO, NDIPO UTAKAPO IFANIKISHA NJIA YAKO NA KUSTAWI SANA:

katika maneno haya ni kachukua:
1 - kujikiria mambo mazuri.
2 - kumeditate
3 - kujifunza

uho ndio ulikua mwanzo wa safari yangu ya mafanikio. Kwa kuwa eneo la maisha yangu kiroho liko vizuri.

Nikaamishia baadhi ya mambo katika eneo langu la uchumi kupitia mfumo ule ule wa kumeditate. Mambo ya kimaendeleo.

Na neno lililo ni sukuma zaidi lilikua (Mithali 21: 5)

- MAWAZO YA MWENYE BIDII HUUELEKEA UTAJIRI:

hapa sasa ni katenga chumba changu maalum. Ni kawa kila siku kuanzia saa 1 - 2 usiku. Nakaa peke yangu na kuanza kutafakari vitu ambavyo ni kivifanya vinaweza kunibariki na kubadilisha maisha yangu. Kutoka kwenye umaskini kwenda kwenye utajiri.

Nilikua na daftari langu na kalamu yangu. Nikaanza kutafakari shida mbali mbali zinazowakabili watu.na ni nini solution yake.

Na mimi nikajiweka kama mtatuzi wa hizo kero au shida za watu.

Gafla mawazo ya miradi ikawa inakuja kama maporomoko ya mto upitishao maji.

Ni kaanza kuandika miradi. Na kupiga hesabu - gharama na faida. Nikajikuta nimefungua miradi mingi na inayoniingizia pesa nyingi sana na kuagana na umaskini.

Sifanyi biashara kama sijui faida yake ni kiasi gani na nitawekeza kiasi gani. Ihi imenijengea tabia ya kujua ni faida kiasi gani nitapata kwenye kila uwekezaji ninao kusudia kuufanya.

Siwekezi bila kufanya tathimini kwanza. Haya yote ni faida ya Meditation.

Ukiamua yote yanawezekana.
 
Prince, heshima kwako. Kwa maelezo yako yaonesha ni kweli unaifanya hii kitu na uko constructive licha ya kuifanya hii kitu. Ila nieleweshe vipi ukiwa umebanwa na ukakosa mda wa kumeditate huwa inapunguza uwezo uliofikia awali?
 
Kwanza lazima ujue jinsi ya ku meditate. Kila jambo lina meditation yake.Lazima ujue energy na chakra zako. Ujue unachoomba ni nini na kila kitu kwa wakati wake. Halafu usianze kufikiri matokeo yatakuje maana yanaweza kuja wakati wo wote Tena uwe specific. Kwa mfano kama una meditate kupata mke mzuri lazima uwe specific otherwise unaweza kupata mke mzuri wa sura lakini wa hovyo. Tena uombapo uwe present tense maana
Energy za soul yako hazijui future.
 
Kwanza lazima ujue jinsi ya ku meditate. Kila jambo linba ameditation yake.Lazima ujue energy na chakra zako. Ujue unachoomba ni nini na kila kitu kwa wakati wake. Halafu usianze kufikiri matokeo yatakuje maana yanaweza kuja wakati wo wote Tena uwe specific. Kwa mfano kama una meditate kupata mke mzuri lazima uwe specific otherwise unaweza kupata mke mzuri wa sura lakini wa hovyo. Tena uombapo uwe present tense maana
Energy za soul yako hazijui future.

Mfamaji, hizi chakra na energy unaweza ukazijua kabla ya kuanza meditation?
 
Back
Top Bottom