kutoboa kimaisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania Kutoboa kimaisha

    Wakuu habari zenu? Ni vigezo gani vitumike vunatumika kuhitimisha kwamba fulani katoboa? Uzi huu unalenga kuwatia moyo wale ambao pengine wanaelekea kukata tamaa ilhali kwa vigezo vya walimwengu ni wametoboa tayari
  2. N

    JamiiForums Tanzania Dogo aliacha chuo ili afanye biashara ya forex! Mtaani kumekuwa kugumu anaomba tumsaidie arudi kuanza chuo tena

    Miaka kadhaa iliyopita mtoto (wa kiume) wa shemeji yangu , aliacha chuo akiwa ameshamaliza mwaka wa pili eti anataka kufanya biashara ya forex. (Kipindi hicho hata sielewi ndio wanafanyaje). Ni kwamba, dogo alipotakiwa kwenda chuo hakwenda, nyumbani walipomuuliza akasema chuo amesimamishwa kwa...
  3. Megfar2001

    JamiiForums Tanzania Wakuu waliotumia boom kutoboa kimaisha watupe uzoefu waliwezaje? Au it's impossible

    Habari zenu wakuu,wakubwa shikamoni Straight to the point,Niko mwaka wa tatu chuo x, niliingia na mipango mingi sana nilivyotoka advance ya kusave boom ili ikiwezekana nifungue biashara kwasababu home hali ndo hivyo maisha sio mazuri sana Tunapewa elimu tu mtaji utajua mwenyew na sababu...
  4. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Kati ya Manyoni, Mpanda na Morogoro (Ifakara, Mvomero na Gairo) ipi sehemu ya kutoboa kimaisha?

    Wakuu mimi ni mtumishi aisee huku niliko Tanga mambo magumu nahisi kutoboa itachukua muda sana wakuu sasa nataka nichague sehemu kama tatu hivi kati ya mkoa wa morogoro (Gairo, Mvomero au Ifakara), Mpanda na Manyoni ipi ni sehemu mzuri kutoboa? Wakuu hasa hasa kwenye kilimo na kuuza maduka ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nisome kozi gani niweze kutoboa kimaisha kiwepesi zaidi

    Habari za mchana Hongereni simba kwa tamasha la jana na yanga leo mfanikiwe zaidi. Jaman naombeni ushaur kozi gani naweza soma nikaja kuajiriwa ndani ya serikali yaan ndani ya miaka mitano au nane serikalini niweze kujenga hata nyumba mbili na kagari hata kamoja then niachane na iyo kazi ya...
  6. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kutoboa kimaisha (biashara) nje ya miji mikubwa kama Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya na Dodoma?

    Tokea nizaliwe sijawai kusikia mtu anatoka mjini anaenda kutafuta maisha kigoma, sumbawanga, Gairo, Mara, Ruvuma, Mtwara, Singida n.k. Simaanishi kwamba hakuna watu wenye pesa lakini naona kama huko mikoa ya pembezoni nguvu ya kuweza kuinua mtaji wa Kwa Kasi na kukua sio jambo jepesi ni...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kwa vijana mliojitoa mhanga kutimiza ndoto

    Mimi ni kijana niliekuja Dar mwaka nusu ulopita. Nilikuja Dar baada ya kutoka nje kimasomo. Pamoja na course niliyosoma, mida ya jioni nilisoma skill nyingine nje ya curriculum kwa personal arrangement. Niliweza kuimaster vuzuri kwa kuwa pia iliakisi uwezo wangu tangu utotoni. So baada ya...
Back
Top Bottom