Ushindi wa UPDP Zambia wachina wana hali mbaya

Nkumbushe kwamba former US President one Donald Trump wanataka kumburuza mahakamani kutokana na kukwepa kulipa kodi stahiki - kumbuka Trump ni Milkionea na mfanya biashara mashuhuri nchini Merikani lakini anakwepa kulipa kodi stahiki, msifikiri Wazungu ni malahika.
Tax avoidance vs Tax evasion.
 
Kwani hawalipi kodi?kwani wamempokonya mtu hela? Kwani hawaajiri waZambia?kwani wananyanyasa raia wa Zambia?

Afrika hatutakuja kuendelea
Naweza kusema huwajui wachina na hujawahi kufanya nao kazi ,
Wanaajiri na wanalipa kodi, ila ni moja ya watu washenzi wasio na utu, dhulmat na vyote visivyokubalika.
 
Naweza kusema huwajui wachina na hujawahi kufanya nao kazi ,
Wanaajiri na wanalipa kodi, ila ni moja ya watu washenzi wasio na utu, dhulmat na vyote visivyokubalika.
Nawajua vizuri, na nina rafiki wa jinsia ke alishawahi kudhalilishwa ..hilo ni suala lingine ...
 
Safi sana hawa jamaa ni watu wabaya sana na wana chuki za kutisha kwa Waafrika. FUKUZA wote hao manina zao.
ukipita barabara ya Tunduma Nakonde kuelekea Lusaka utakutana na wachina waliojazana Zambia wakiishi kama raia wa kawaida
opposition walisema watashughulika na hawa watu walioletwa na serikali ya PF.

Africa tuna kazi sana kwa kweli
 
Back
Top Bottom