Ushawahi kutongoza/ kutongozwa na jini? Ikawaje?

Ushawahi kutongoza/ kutongozwa na jini? Ikawaje?

Huyo ni wa kwanza alikuwa ni Mpole sana, mstaarabu na muda wote yupo Kama binaadam labda aje mjinga kumzingua....alikuwa ananipenda sana Iola wivu na kupenda kufanya mapenzi muda mrefu kuleni fanya nimtafute njia ya kumkwaza asepe....bado ya huyu kisu rani KAISHKA.
Dar hukukutana naye?
 
Ina maana madem hawakutan na majini ya kuime mbn hawatiririki ht kdg ?? Au ndo wanaogopa kushare km wakatwa na majini
Bora kugegeda, sio kugegedwa. Wanaogopa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Natania tu.
 
Ukikutana na jini hutatamani kumwachaa ila uwe shujaa wakati fulani.
Nilikutana na chini anakwenda shule evening class, akanambia anasoma ili kurudia mtihani wake wa kidato cha nne...
Nilimshawioshi asiende shule badala yake tukaenda geto... yaani anaomba kitu kama huna basi kufumba na kufumbua kinapatikana mfano...anaomba maji ya chupa ukisema duka lipo mbali unashangaa anafunua shuka na kutoa maji.kiboko ni pale alipotaka dinner nikajibu huwa sipiki labda twende tukale kwa mama mtilie, akajibu kwani wewe unapenda kula nini? nikajibu kitimoto...akanichapa kibao mzee nilishangaa nini tena nikajifanya nimemaind nikatoka nje kuzuga...niliporudi nikakuta mashuka tu...
CHAI
 
Mbezi, ya Africana, kuna beach ile ipo jiran na jeshi, kwa wanaopafahamu watakuwa wanapaelewa, pale kuna mdada mmoja mmoja anapiga moja matata sana, mfano wa Sanchi, nimewahi kupishana na Yule dem Kama mara tatu hivi na mara zote Mimi nikimuona Kama mwanamke mrembo anayetoa moto mdomo ni huku we zangu wakiona Kama ni kundi kubwa la Nyuki linakuja mbele, huyu ndio alikuwa wa kwanza kumi fanya macho yangu yaani even kuwatambua hawa viumbe, Safari ili anzia hapo..huyo sikuwa hi kutongoza wala kujaribu kufikiria kufanya hivyo kwa maana nilikuwa nikimuona Mimi we zangu hawamuoni, wanachoona ni nyuki, naanza na huyu.
Unazingua,kama kakukataa hakuna haja ya kumchafua huyo mrembo wa africana.
 
nmefatilia nyuz kadhàa hapa. nashawishika kuamini usichukue demu mpya kama amejifunikafunika kiasi huoni maungo yake sawasawa hasa mikono na miguu au?
 
nmefatilia nyuz kadhàa hapa. nashawishika kuamini usichukue demu mpya kama amejifunikafunika kiasi huoni maungo yake sawasawa hasa mikono na miguu au?
simpo. we chukua yale mambandanga a.k.a mabonge. hakuna jini bonge wote vimbaumbau.
 
Tupeane uzoefu wazee wa kuingia chaka, wazee wa kujilipua, wazee wa kujitafutia mabalaa....
Sio kutongoza tu hata Kama ushawahi kubanduana nao we lete mrejesho hapa ikawaje, maana naamini humu wengi yashatukuta....Mimi nilikutana na legendary KAISHKA pale bills kipindi hicho..pombe zilikata.
Mkuu umeutelekeza uzi wako!?njoo tupe ya kaishika.
 
Alirudi katika Hali ya kawaida nikamwambia tukakae kibarazani nje tuongee kweli alikuwa like nikawa naongea nae, na majirani wakijipitisha kuona chuma ninachopiga Nacho stori, yaani wangejua, wala wasingekuwa wamsifia...tuliongea hadi saa kumi na mbili jioni akasema anarudi kwake kusali, nikamuuliza kwako ni wapi, akajibu Zanzibar, my nikamwambia haya, ahsante kwa kukufahamu...aliniuliza kitu wakati anaondoka kwamba? Bado namuogopa?nikamwambia eeh kidogo Iola simuamini, akasema kesho nataka tufanye mapenzi siku nzima, nikamuuliza unayo ya kawaida Kama ya binaadamu akasema Yap..nikamwambia poa....akaondoka anacheka, huwezi amini alipotoka tu, mi mbili nikafunga mlango, vaa viatu huyoo mpaka msamvu nikapanda abood ya mwisho, huyoo dar, nikahisi nikilala pale, naweza kulaliwa.
Mkuu malizia story
 
Ukikutana na jini hutatamani kumwachaa ila uwe shujaa wakati fulani.
Nilikutana na chini anakwenda shule evening class, akanambia anasoma ili kurudia mtihani wake wa kidato cha nne...
Nilimshawioshi asiende shule badala yake tukaenda geto... yaani anaomba kitu kama huna basi kufumba na kufumbua kinapatikana mfano...anaomba maji ya chupa ukisema duka lipo mbali unashangaa anafunua shuka na kutoa maji.kiboko ni pale alipotaka dinner nikajibu huwa sipiki labda twende tukale kwa mama mtilie, akajibu kwani wewe unapenda kula nini? nikajibu kitimoto...akanichapa kibao mzee nilishangaa nini tena nikajifanya nimemaind nikatoka nje kuzuga...niliporudi nikakuta mashuka tu...
Hahaha jamaa we sound kama mpoki
 
hizi stori ni tamu ila 99% ni matango pori tunalishwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom