Ushawahi kutongoza/ kutongozwa na jini? Ikawaje?

Ushawahi kutongoza/ kutongozwa na jini? Ikawaje?

Mm nilimkuta binti mrembo kituo cha basi mwenge usiku saa 4 kavaa jeans black na t-shirt red akiomba lift. Nikasimama, nikamuuliza anaenda wapi? akadai sio mbali ni tangi bovu tuu. Nikamchukua akakaa kiti cha nyuma (corola). Kufika karibu na tangi bovu nikataka kumuuliza ndio hapa unashuka? Kuangalia nyuma hayupo! Daaa, nikapaki gari nikaangalia kama kadondoka? Sikuamiani nilichokiona, basi kuulizia kesho nikaambiwa ni kawaida yake hilo jini kwa njia hiyo.
aiseeee
 
Ukikutana na jini hutatamani kumwachaa ila uwe shujaa wakati fulani.
Nilikutana na chini anakwenda shule evening class, akanambia anasoma ili kurudia mtihani wake wa kidato cha nne...
Nilimshawioshi asiende shule badala yake tukaenda geto... yaani anaomba kitu kama huna basi kufumba na kufumbua kinapatikana mfano...anaomba maji ya chupa ukisema duka lipo mbali unashangaa anafunua shuka na kutoa maji.kiboko ni pale alipotaka dinner nikajibu huwa sipiki labda twende tukale kwa mama mtilie, akajibu kwani wewe unapenda kula nini? nikajibu kitimoto...akanichapa kibao mzee nilishangaa nini tena nikajifanya nimemaind nikatoka nje kuzuga...niliporudi nikakuta mashuka tu...
[emoji23] [emoji23] ulitisha
 
Kuna teacher wetu moja jina nalihifadhi alikutana na jini akamtongoza,jini bila kutafuna maneno akamkubalia,kufika hiyo sehemu ili abanjuwe kumuangalia chini anamiguu ya punda teacher alizimia na alipo ziduka ni chiziiii, baada ya hapo alipelekwa kwa mganga jini akaja kichawani akasema namtia adabu huyu kwa maana anajifanya kidume.
 
Majini huwa wanatoka wapi? Ni kwamba wana nchi yao? Nani aliwaumba? Kuna majini wacha Mungu kabisa? Naomba mwenye jibu anipe kwa sababu wakristo sisi hatufundishwi habari za majini
Kaseme Quran utaelewa kila kitu
 
Nilikutana na jini Mwaka 98. Natoka zangu chuo IFM nilikuwa na paper la Quadratic Mathematics nkiwa nmevurugwa na namba ngumu za paper, mida ya saa tatu usiku naelekea geto kigamboni. Nikakatiza mitaa ya Embassy Hotel (now imefungwa). Nikashangaa naitwa kwa jina langu kugeuka sioni mtu, nikapotezea labda kelele za town.
Nkiwa kwny pantoni nkamkuta demu mzuri mweupe yan ana ng'aa kwa akili zangu za ujana nkajisemea ha! Wapi hata kwa dawa simng'oi kwanza sina hela afu ndo kwanza nakula buku. Me nlkaa kwa nyuma sit kama 5 kufka kwangu huwez amini yule demu aliongea na simu kuanzia namuona had tunashuka. Nilipofika geto nikamuona kavaa kanga moja anaenda bafuni. Nilijawa na hamu ya kujua akitoka kuoga ataingia chumba kipi mana alipotoka sikumuona.

Sorry battery low ngoja niweke chaji afu ntaendelea..
 
Mkuu tunakusubiria
 
Kuna teacher wetu moja jina nalihifadhi alikutana na jini akamtongoza,jini bila kutafuna maneno akamkubalia,kufika hiyo sehemu ili abanjuwe kumuangalia chini anamiguu ya punda teacher alizimia na alipo ziduka ni chiziiii, baada ya hapo alipelekwa kwa mganga jini akaja kichawani akasema namtia adabu huyu kwa maana anajifanya kidume.
we kweli mwanambwa
 
Ukikutana na jini hutatamani kumwachaa ila uwe shujaa wakati fulani.
Nilikutana na chini anakwenda shule evening class, akanambia anasoma ili kurudia mtihani wake wa kidato cha nne...
Nilimshawioshi asiende shule badala yake tukaenda geto... yaani anaomba kitu kama huna basi kufumba na kufumbua kinapatikana mfano...anaomba maji ya chupa ukisema duka lipo mbali unashangaa anafunua shuka na kutoa maji.kiboko ni pale alipotaka dinner nikajibu huwa sipiki labda twende tukale kwa mama mtilie, akajibu kwani wewe unapenda kula nini? nikajibu kitimoto...akanichapa kibao mzee nilishangaa nini tena nikajifanya nimemaind nikatoka nje kuzuga...niliporudi nikakuta mashuka tu...
aaaaah!NAE apatani na pig
 
Duh... umenikumbusha mwaka 2015 nikitokea Gongo la Mboto kuja Riverside na dogo angu mmoja hivi. ile tunazama ndani ya daladala tukao a watoto2 wakali hataree... mzee zikujivunga nikasonga mpaka kwa mmoja kati ya wale wawili... nikaanza kurusha vimaneno vya utani vicheko tele mpaka kondakta wa daladala akaropoka maneno ya kuonesha kuwa naenda kula mzigo kituo kinachofuata abiria wengine wakacheka sana.

njiani nilisha mkonvisi mtoto na mwenzie wakakubali kusukia riverside ila akagoma kuja gheto akiahidi kuja the other day.

next day ilikuwa Jpili akaja kama kawaida nkampa juicy niliyokuwa nimetengeneza mwenyewe... Mwenzie hakuja sababu dogo hakuwa interested saana.

Sasa wakati kinakunywa juicy huku mie naendelea kutupia maneno ya kichokozi. akicheka najifanya na mie kucheka afu natupia mkono kwenye kinena chake wala hakatai.

nkaona napoteza muda nkamshika mkono na kuingia naye chumbani. nikamtosa sana maeneo nyeti akiwa kavaa ngua mpaka akalegea. Ile kutaka kumtoa nguo akakataa akasema nifunge mapazia yote kuwe giza huku nikihakikisha hakuna mwanga utakaotoka nje wa asili kuingia ndani..! tukabishana sana maana mie nataka nipige kitu huku naiona i see...

baadaye nikaona isiwe taabu nikafanya atakavyo kisha nikawasha taaa ya ndani... So mzee mzima ila nataka kupanda hivi akaniambia nisiwe na haraka nigeuke kwanza na kufumba macho... Si nikajua haya yatakuwa mapenzi ya kihindi na mtoto ndo anapenda hivo. nikafanya kama alivosema... ile kufumba kwa sekunde kama 30 nikasikia upepo wa baridi mithili ya mvuke wa maji ukizunguka gheto. nikafumbua macho kwa hofu kubwa nikambilia dirishani nikafungua mapazia kutaka kujua kama mvua imekuja ghafla na maji yanaingia ndani. nikafungua mapazia naona nje hali ya hewa ni shwari kabisa... kugeuka kumuangalia yule demu nakuta kaganda macho yapo wazi lakini hajitambui. ukimuita haitiki wala astuki... nkataka kumuita dogo aje kunisaidia tatizo ile kusogelea mlango.. mlango unasoge mbele nikisogea na wenyewe unasogea... mfck...

Nilichofanya nikafunika mapazia tena... mwanga ulipopotea tu yule mdada akapiga chafya ya haja sana.. kwa hasira akasema kwann unataka kuniua!? nkamuuliza kivipi!? akanambia, nimekwambia nn na wewe umefanya nn... kwann umedufumbua macho.!? na maswali mengine mengi hayana kichwa wa miguu!

kutokana na mswali yake nikajiongeza na kujua sipo na binadamu wa kawaida, so what I did nikaanza kumbembeleza na kumpa pole ila nikisisita anambie yeye nani na kwann imetokea vile.

mara ya kwanza akanambia.. nikikwambia utaniogopa lakini baada ya kumbembeleza sana ndio akanambia ye ni uzao wa Jini na Binadamu... pia anazohisia za mapenzi na binadamu ingawa amewahi fanya mapenzi na wanaume binadamu 2 tu na wote hawajawahi fanikiwa kuifikia papuchi yake maana wapenzi wake hali ambao ni majini umbadilisha kila anapotaka kufanya mapenzi... yaani wanachofanya ni kumuondoa yeye kisha wanaweka kiumbe chochote kile na wahusika hawakuwahi kugundua hilo...

So akaendelea kunambia kilichokuwa kinaenda kutokea ni kuwa wapenzi wake majini ambayo ni mengi yalikuwa yanajipanga kunichukua na kunipeleka popote pale lakini ni ufukweni mwa bahari ya hindi bila kunidhuru ila adhabu ya viboko nk itakuwa juu yake yeye!

kwa kuwa mara ya mwisho yalimwambia akirudia yatamfundisha adabu.

akakiri kupelekwa chini ya bahari mara kadhaa kwa makosa ya kawaida yasiyo na adhabu kubwa.

kijisho kilinitoka ila kanajua kubembeleza kweli sababu kaliniambia Babayake atakasaidia maana muda mwingi akifanya makosa mengine huwa anatetewa na Babayake ambaye ni jini.

Nikamuuliza unaweza kumtambua jini katika hali ya kawaida... akaniambia si rahisi kwa viumbe wengine... akitolea mfano wapenzi wake majini alisema... ukikutana nao ni binadamu kwa mwonekano kama binadamu wengine... ila ndio wanauwezo mkubwa wa kufanya mambo tofauti tofauti ikiwa ni pamoja na makazi yao kuwa chini ya bahari.

mambo mengine aliyofunguka ni pamona na kusema kuwa haruhusiwi kukaa fukwe za starehe... kufanya mapenzi na binadamu yoyote hususani ambaye ana tofauti kubwa asili ya majini.

Anadai akifanya mapenzi na hayo majini hufanya kwa siku 2_3 na majini tofauti na wala hachoki...

Baadaye tukazungumza habari za kawaida na kunisihi si kila mtu nimwonae ni binadamu na niwe makini... Baada ya kumuona akili zake zimetulia nikamuomba turejee sebuleni akakubali japo kwa shingo upande saana uku akilalama nimeijua siri yake na adhabu yake atakayopewa hapo baadaye.

tulivofika sebuleni nikazama jikoni kuchukua more juicy... kurejea sikumkuta na hajawahi kuntokea tena... Siku hiyo nilihama chumba kabisaa mpaka after 3 nlipomuadithia dogo kwann silali chumbani kwangu...

alinisimulia mambk mengi sana haya ni kwa uchache sana
aysee...I wish hii story ingeendelea
 
duuh hii thread tangu mchana naipita bila kuifungua naichukulia yakiduanz
 
Tupeane uzoefu wazee wa kuingia chaka, wazee wa kujilipua, wazee wa kujitafutia mabalaa....
Sio kutongoza tu hata Kama ushawahi kubanduana nao we lete mrejesho hapa ikawaje, maana naamini humu wengi yashatukuta....Mimi nilikutana na legendary KAISHKA pale bills kipindi hicho..pombe zilikata.
Ilikuwaje mkuu,tuelezee...tupate uzoefu
 
Ukikutana na jini hutatamani kumwachaa ila uwe shujaa wakati fulani.
Nilikutana na chini anakwenda shule evening class, akanambia anasoma ili kurudia mtihani wake wa kidato cha nne...
Nilimshawioshi asiende shule badala yake tukaenda geto... yaani anaomba kitu kama huna basi kufumba na kufumbua kinapatikana mfano...anaomba maji ya chupa ukisema duka lipo mbali unashangaa anafunua shuka na kutoa maji.kiboko ni pale alipotaka dinner nikajibu huwa sipiki labda twende tukale kwa mama mtilie, akajibu kwani wewe unapenda kula nini? nikajibu kitimoto...akanichapa kibao mzee nilishangaa nini tena nikajifanya nimemaind nikatoka nje kuzuga...niliporudi nikakuta mashuka tu...
Hii ni kweli mkuu??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom