Majini ni mengi hasa ya kike yanazurura kuanzia saa kumi jioni....nilikuwa na uwezo wa kuwatambua kabla ya kuamua kuuchafua mwili makusudi ili ule uwezo wa kuona vitu usiwepo tena. nitawaeleza kilichonitokea kwa KAISHKA pale bills, kwa sasa nimebanwa na kazi kidogo, ntakuja ku tiririka hapa,
kibao cha jini upate nafasi ya kunyanyuka na kutoka nje acha utani mkuu ....ama ndo cha kofi la mpenzi haliumiUkikutana na jini hutatamani kumwachaa ila uwe shujaa wakati fulani.
Nilikutana na chini anakwenda shule evening class, akanambia anasoma ili kurudia mtihani wake wa kidato cha nne...
Nilimshawioshi asiende shule badala yake tukaenda geto... yaani anaomba kitu kama huna basi kufumba na kufumbua kinapatikana mfano...anaomba maji ya chupa ukisema duka lipo mbali unashangaa anafunua shuka na kutoa maji.kiboko ni pale alipotaka dinner nikajibu huwa sipiki labda twende tukale kwa mama mtilie, akajibu kwani wewe unapenda kula nini? nikajibu kitimoto...akanichapa kibao mzee nilishangaa nini tena nikajifanya nimemaind nikatoka nje kuzuga...niliporudi nikakuta mashuka tu...
[emoji23][emoji23][emoji23]Mungu wangu wewe una roho ngumu vitendo vyote ivyo vinaendelea umetulia tuu khaaa wee jasiriiUkikutana na jini hutatamani kumwachaa ila uwe shujaa wakati fulani.
Nilikutana na chini anakwenda shule evening class, akanambia anasoma ili kurudia mtihani wake wa kidato cha nne...
Nilimshawioshi asiende shule badala yake tukaenda geto... yaani anaomba kitu kama huna basi kufumba na kufumbua kinapatikana mfano...anaomba maji ya chupa ukisema duka lipo mbali unashangaa anafunua shuka na kutoa maji.kiboko ni pale alipotaka dinner nikajibu huwa sipiki labda twende tukale kwa mama mtilie, akajibu kwani wewe unapenda kula nini? nikajibu kitimoto...akanichapa kibao mzee nilishangaa nini tena nikajifanya nimemaind nikatoka nje kuzuga...niliporudi nikakuta mashuka tu...
Kwe kwee kwee mbavu zanguu..kwee kweee kweeeUkikutana na jini hutatamani kumwachaa ila uwe shujaa wakati fulani.
Nilikutana na chini anakwenda shule evening class, akanambia anasoma ili kurudia mtihani wake wa kidato cha nne...
Nilimshawioshi asiende shule badala yake tukaenda geto... yaani anaomba kitu kama huna basi kufumba na kufumbua kinapatikana mfano...anaomba maji ya chupa ukisema duka lipo mbali unashangaa anafunua shuka na kutoa maji.kiboko ni pale alipotaka dinner nikajibu huwa sipiki labda twende tukale kwa mama mtilie, akajibu kwani wewe unapenda kula nini? nikajibu kitimoto...akanichapa kibao mzee nilishangaa nini tena nikajifanya nimemaind nikatoka nje kuzuga...niliporudi nikakuta mashuka tu...
Mkuu bado haujamaliza story. Nimesubscribe uzi kbsa.Ulichokisema ni kweli kabisa, hasa hapo katika kutunza Siri na usafi, na unafki