Ushawahi kutongoza/ kutongozwa na jini? Ikawaje?

Norshad

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
5,224
Reaction score
12,622
Tupeane uzoefu wazee wa kuingia chaka, wazee wa kujilipua, wazee wa kujitafutia mabalaa....
Sio kutongoza tu hata Kama ushawahi kubanduana nao we lete mrejesho hapa ikawaje, maana naamini humu wengi yashatukuta....Mimi nilikutana na legendary KAISHKA pale bills kipindi hicho..pombe zilikata.
 
Duuh!!

nafikiri kwa sauti

sasa mwisho wa siku unajuaje kama umembandua jini atiiii,, ??
 
Ukikutana na jini hutatamani kumwachaa ila uwe shujaa wakati fulani.
Nilikutana na chini anakwenda shule evening class, akanambia anasoma ili kurudia mtihani wake wa kidato cha nne...
Nilimshawioshi asiende shule badala yake tukaenda geto... yaani anaomba kitu kama huna basi kufumba na kufumbua kinapatikana mfano...anaomba maji ya chupa ukisema duka lipo mbali unashangaa anafunua shuka na kutoa maji.kiboko ni pale alipotaka dinner nikajibu huwa sipiki labda twende tukale kwa mama mtilie, akajibu kwani wewe unapenda kula nini? nikajibu kitimoto...akanichapa kibao mzee nilishangaa nini tena nikajifanya nimemaind nikatoka nje kuzuga...niliporudi nikakuta mashuka tu...
 
[emoji1]
 
Majini ni mengi hasa ya kike yanazurura kuanzia saa kumi jioni....nilikuwa na uwezo wa kuwatambua kabla ya kuamua kuuchafua mwili makusudi ili ule uwezo wa kuona vitu usiwepo tena. nitawaeleza kilichonitokea kwa KAISHKA pale bills, kwa sasa nimebanwa na kazi kidogo, ntakuja ku tiririka hapa,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom